Ndege yoyote haiwezi kwenda reverse; ndiyo maana huwa zinasukumwa kwa trekta. Yale matrekta ya kusukuma ndege hayamilikiwi na shirika la ndege bali yanamilikiwa na kampuni inayotoa huduma za uwanja wa ndege. Uchoona hapo nikuwa trekta la kusukuma hailkuwapo kwa hiyo watu wakaamua kuisukuma.