Nini kimetokea kati ya Kenya na South Sudan?

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,947
2,000
Kenya na South Sudan ni kati ya mataifa mawili yanayo share muingiliano mkubwa wa watu na mipaka baina yao kwa upande wa kaskazini mwa Kenya, nafikiri pia kuna Jamii moja inayopatikana pande zote mbili kama kwa maasai upande wa Tanzania na Kenya
images (3).jpeg

Baada ya kupata kujitenga na Sudan na kua Taifa lingine, South Sudan ilikua beneti sana na Kenya kwa kila jambo pia Kenya imeshiriki pakubwa kuisaidia South Sudan kujitegemea na mpaka viongozi wa South Sudan walikua wakiishi Kenya Nairobi kwa kipindi kirefu wao pamoja na jamaa zao wakati na baada ya kutengana na Sudan pia kuna idadi kubwa tu ya wakimbizi wa South Sudan wanaoishi Kenya

Wananchi wa South Sudan wanamiliki vitega uchumi vingi tu nchini Kenya lakini siku za hivi karibuni nchi hizi mbili zimeonekana kupunguza ushirika wao kwa kasi ya kutosha au labda tuseme Kenya ina migogoro na kila jirani, Uganda hawako sawa sababu ya Migingo na uhusiano umekua mbaya kiasi la kuwanyima bomba la mafuta na reli ya SGR , Somalia ndio kama mjuavyo wanachukua bahari almost robo ya Kenya na mgogoro umefikia hatua ya kufukuza mabalozi, kule Ethiopia wamekiuka mkataba waliowekeana kwa Ethiopia kukataa kutumia bandari ya Mombasa na bandari waliyoandaliwa ya Lamu kwa Ethiopia kukimbilia Eritrea na Djibouti wazi wazi.
images.png

Nini kimeipata Kenya na majirani zake, ni kwanini kila jirani hawapo kwenye good terms na Kenya na wote wanaonekana kutaka isolation na Kenya na sio Kenya isolated them, nimetafakari kwa kina nikagundua Kenya ina matatizo makubwa sana ambayo yanaigharimu pakubwa kiuchumi na kisiasa vibaya mno.

Ni jana nashangaa kuona ujumbe mzito kutoka South Sudan ukikimbilia Tanzania na kuiruka Kenya pua na mdomo kwa kuja kutaka msaada wa Tanzania kwa masuala ambayo Kenya wanayaweza vizuri mno

Ujumbe huu mawaziri wa South Sudan umetenga millions of dollars kwaajili ya wataalam wa Tanzania kwenye masuala ya elimu, kilimo, diplomacy, mazingira, utamaduni na amani, wameahidi donge nono na maslahi mapana kwa wabobezi wa kitanzania kwenye hizo kada waende South Sudan mwezi ujao kuhudumu kwenye sector nyeti hizo kwa mamia.

Baada ya kuliona hili ndipo nilipo rejea diplomacy situation kati ya Kenya na majirani zake, nini tatizo?
 
Naton Jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
6,334
2,000
Ebwanaee nimeangalia clip naona hili deal litanifaa sana vipi tunafikaje huko me napenda sana adventure nafikili naweza kupata hii chance huko Juba
 
Sherlock

JF-Expert Member
Jun 2, 2018
1,229
2,000
The kenyan situation can simply be described as follows
when people encounter someone with a strong personality, they don’t understand the kind of person they are dealing with.
Some people think you dominate. Some just think you are rude. But none of these are the truth.
Thats why there is so much distrust and suspicion especially towards Kenya
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
16,519
2,000
Nasikia huko kuna fulsa hatari halafu watanzania wanaheshimika sana huko, sijui tunafikaje
Kuna fursa zote huko ila wao ndio wana matatizo yaani kidogo kinawaka
Na hawana elimu kabisa
Waliotoka nje miaka ya nyuma kama wakimbizi ndio watoto wao wanarudi baada ya kupata elimu lakini bado wanabaguliwa pia wakirudi kwaoSent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,622
2,000
Katika dunia hii huwezi kuwa na ushikirikiano na nchi moja tu, jiulize mbona Tanzania inabalozi nchi nyingi tu za Ulaya, Amerika na Asia wakati mfano sera ya UK na USA kwa Tanzania zinafanana,
S.Sudan anajua lazima awe na ushirikika mzuri na nchi nyingi na siyo Kenya tu
Kenya na South Sudan ni kati ya mataifa mawili yanayo share muingiliano mkubwa wa watu na mipaka baina yao kwa upande wa kaskazini mwa Kenya, nafikiri pia kuna Jamii moja inayopatikana pande zote mbili kama kwa maasai upande wa Tanzania na Kenya
View attachment 1034127
Baada ya kupata kujitenga na Sudan na kua Taifa lingine, South Sudan ilikua beneti sana na Kenya kwa kila jambo pia Kenya imeshiriki pakubwa kuisaidia South Sudan kujitegemea na mpaka viongozi wa South Sudan walikua wakiishi Kenya Nairobi kwa kipindi kirefu wao pamoja na jamaa zao wakati na baada ya kutengana na Sudan pia kuna idadi kubwa tu ya wakimbizi wa South Sudan wanaoishi Kenya

Wananchi wa South Sudan wanamiliki vitega uchumi vingi tu nchini Kenya lakini siku za hivi karibuni nchi hizi mbili zimeonekana kupunguza ushirika wao kwa kasi ya kutosha au labda tuseme Kenya ina migogoro na kila jirani, Uganda hawako sawa sababu ya Migingo na uhusiano umekua mbaya kiasi la kuwanyima bomba la mafuta na reli ya SGR , Somalia ndio kama mjuavyo wanachukua bahari almost robo ya Kenya na mgogoro umefikia hatua ya kufukuza mabalozi, kule Ethiopia wamekiuka mkataba waliowekeana kwa Ethiopia kukataa kutumia bandari ya Mombasa na bandari waliyoandaliwa ya Lamu kwa Ethiopia kukimbilia Eritrea na Djibouti wazi wazi.
View attachment 1034128
Nini kimeipata Kenya na majirani zake, ni kwanini kila jirani hawapo kwenye good terms na Kenya na wote wanaonekana kutaka isolation na Kenya na sio Kenya isolated them, nimetafakari kwa kina nikagundua Kenya ina matatizo makubwa sana ambayo yanaigharimu pakubwa kiuchumi na kisiasa vibaya mno.

Ni jana nashangaa kuona ujumbe mzito kutoka South Sudan ukikimbilia Tanzania na kuiruka Kenya pua na mdomo kwa kuja kutaka msaada wa Tanzania kwa masuala ambayo Kenya wanayaweza vizuri mno

Ujumbe huu mawaziri wa South Sudan umetenga millions of dollars kwaajili ya wataalam wa Tanzania kwenye masuala ya elimu, kilimo, diplomacy, mazingira, utamaduni na amani, wameahidi donge nono na maslahi mapana kwa wabobezi wa kitanzania kwenye hizo kada waende South Sudan mwezi ujao kuhudumu kwenye sector nyeti hizo kwa mamia.

Baada ya kuliona hili ndipo nilipo rejea diplomacy situation kati ya Kenya na majirani zake, nini tatizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
4,266
2,000
Museveni akiwa mugwana hata mafuta ya SS yatapita uganda hadi tanga.
Hongera SS & TZ. HAKUNA mtu aliye na akili timamu anaweza piga dili kama hizi na fisadi kama kenyatta
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,130
2,000
Hahaha! :D Ushirikiano kati ya Kenya na S.Sudan bado upo imara kabisa. Tz hamna huo ubavu wa kutishia uwekezaji wa wakenya kule S.Sudan. Mabenki, biashara, mashule na makanisa ya kikenya ni mengi sana huko, S.Sudan wanafunzwa na walimu wakenya mashuleni, wanatumia syllabus na vitabu vya Kenya hadi na mitihani wanafanya ya Kenya. Ila fursa zipo kwa wingi.
 
Video inasema wanataka kuchapisha vitabu vyao kuanzia vya nursery mpaka secondary nchini Tanzania
 
Naton Jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
6,334
2,000
Kuna fursa zote huko ila wao ndio wana matatizo yaani kidogo kinawaka
Na hawana elimu kabisa
Waliotoka nje miaka ya nyuma kama wakimbizi ndio watoto wao wanarudi baada ya kupata elimu lakini bado wanabaguliwa pia wakirudi kwaoSent from my SM-G570F using Tapatalk
Ila naona fursa ya kuuza chakula inafaa sana huko, kuna uzi humu watanzania wanaosafirisha mazao kwenda ss wanasema ukienda na fuso la mahindi unarufi na faida ya kununua fuso lingine jipya gari kabisa ila biashara ni pata potea unaeza usirudi na hata ndala
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
16,519
2,000
Ila naona fursa ya kuuza chakula inafaa sana huko, kuna uzi humu watanzania wanaosafirisha mazao kwenda ss wanasema ukienda na fuso la mahindi unarufi na faida ya kununua fuso lingine jipya gari kabisa ila biashara ni pata potea unaeza usirudi na hata ndala
Hahahahaha du nimecheka sana kwa kweli
Fuso la mahindi linazaa fuso lingine

Yaani fursa za hivyo kwenye vita huwa wapo wasomali hao ndio wanajua kuchangamkia fursa pindi vita inapotokea popote wao ndio huwa wa kwanza kufika ma kuanza kusambaza chakula

Lakini inataka moyo wa chuma kama wao

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,947
2,000
Katika dunia hii huwezi kuwa na ushikirikiano na nchi moja tu, jiulize mbona Tanzania inabalozi nchi nyingi tu za Ulaya, Amerika na Asia wakati mfano sera ya UK na USA kwa Tanzania zinafanana,
S.Sudan anajua lazima awe na ushirikika mzuri na nchi nyingi na siyo Kenya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli lakini gharama ya kumgharamia mfanyakazi kutoka Tanzania mpa South Sudan ni kubwa kuliko mkenya ambae ni jirani yake

Wakenya wamekua wakijitapa kwamba wao ndio wanaoongoza duniani kutoa walimu wengi wa kiswahili, nilijua hii fursa ingekuwa yao moja kwa moja hasa ukizingatia mahusiano yao yalivyokua na South Sudan lakini kitendo cha South Sudan kutumia pesa nyingi zaidi za ziada ili tu kutumia watanzania lazima kuna strong reasons behind this decision.
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,947
2,000
Ebwanaee nimeangalia clip naona hili deal litanifaa sana vipi tunafikaje huko me napenda sana adventure nafikili naweza kupata hii chance huko Juba
Labda mpaka wizara itangaze ndio utaweza kuapply ni sehemu gani utafaa kuhudumia kwa mujibu wa vigezo vyao, ila inaonekana lazima maslahi ni mazuri sana na huenda ukapata treatment za kidiplomasia kwa mujibu wa mkataba wa Vienna.
 
Naton Jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
6,334
2,000
Labda mpaka wizara itangaze ndio utaweza kuapply ni sehemu gani utafaa kuhudumia kwa mujibu wa vigezo vyao, ila inaonekana lazima maslahi ni mazuri sana na huenda ukapata treatment za kidiplomasia kwa mujibu wa mkataba wa Vienna.
Kivipi mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom