kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,247
- 16,169
Tangu ujio wa uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM haikuwahi kuwa na wetu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya chama ya kuteuliwa kuwa wagombea katika nafasi za ubunge na udiwani kama ilivyo sasa kwenye uchaguzi wa 2025.
Nini kimechagiza watu wengi kujitokeza safari hii kuomba nafasi ya kugombea ubunge na udiwani kwenye uchaguzi wa 2025?
Je, ni kuongezeka kwa demokrasia nchini na ndani ya chama sasa kuliko zamani?
Je, ni kuongezeka kwa mafao ya ubunge na udiwani sasa kuliko zamani?
Je, ni uwezekano mkubwa wa mgombea kupita na kuwa mbunge au diwani sasa kuliko zamani?
Au nini?