McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Kashapata alichokita sasa apige kelele za nini muacheni ndio kwanza nyumba imeanza kupanda ngojeni apige hata vigae apate uhakika incase likitoke la kutokea.
Kamuulize diwani na mbunge wako kwanza kabla ya kurukia kwa mkuu wa wilaya na umemuuliza Polepole kama mtu binafsi na sio mkuu wa wilaya,acha visingizio.
Acha kukurupuka. Nimekuuliza wewe?Kumuulizia Humphrey ndiyo majungu? Tutakua twakuulizia ww sasa usijali ila sasa tutakuulizia wewe kwalipi
Usijekuta labda ndiye Stroke humu JF!Mara ya mwisho nilimwona kwenye Video Clip moja hivi ikimwonyesha akiongoza magari barabarani kama trafiki maeneo ya Dar, ilikuwa zaidi ya miezi miwili iliyopita.
Jambo moja ambalo nina uhakika nalo ni kwamba, Pole Pole kwa sasa hana Amani wala furaha yoyote toka apewe ukuu wa wilaya kwa sababu, jamii imeishia Kumshangaa, Kumdharau na kumchukia. Na pia nina uhakika wa 100% kuwa Pole Pole yupo humu JF kila mara kwa kutumia ID fulani fulani hivi ili awe huru kuandika kile anachokiamini na most like ni KUKOSOA!
Acha upuuzi wewe.Kumbe hata hutambui unafanya nini? Rudia kusoma ulichokiandika, sijui tatizo ni shule au basi tu uelewa binafsi.
Ungeemuliza huyo uliemanisha kumuuliza ungem-PM