accused
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,496
- 2,750
Nimejiuliza peke yangu jibu silipati, nimeamua kujiuliza kwa sauti hapa.
Mheshimiwa Humphrey toka ateuliwe hajitokezi kokote sasa nashindwa kuelewa
Mh. hakufurahishwa na nafasi aliyopewa na mkuu hivyo munkari ya kazi imekata?
Mh. Wilaya aliyopewa haina changamoto kiasi kwamba hasikiki hata kuisemea wilaya yake kama akina Salum Hapi?
Au Mh. Bado anachukua muda kuijua ofisi aliyokabithiwa na kuyajua kwanza matatizo ya wananchi wake kimya kimya?
Mh Humphrey Pole Pole kunani??