Mbona Tibaijuka hajarudi?.Halafu msisahau Mulamula ni msomi ambaye anaweza kurudi UN anytime akiamua. Hana njaa kabisa. Hivi vyeo watishiwe Mawaziri mamburura (wale VIJANA)!
Mkapa alikua expert wa usalama?Mambo ya nje Waziri anatakiwa awe miksa, expert wa usalama+ diplomasia.
Glass ya juice na school bus viliratibiwa na wizara!Skul bas na Gilasi vimemponza Mulamula
Hiyo school bus unayosema, mbona marais wengine, akina Ruto na marais wengine nao walipanda.Skul bas na Gilasi vimemponza Mulamula
Toa mifano hai ya kiutendaji tafadhaliMosi Balozi liberata ni mtendaji mzuri ila sio mwanasiasa mzuri
Walamba Asali washavamia uziUmeongea na kuandika upotoshaji wa kimakusudi kwa kuonyesha kutokuwa na uelewa wa kutosha, Hoja ilizoweka hapo juu Ni za uongo na kinafiki Sana,
Hoja ya usafiri alioutumia mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani pamoja na viongozi wengine wengi tu waliokwenda kwenye mazishi ya Malkia wa uingereza yaliratibiwa na kusimamiwa na nchi mwenyeji katika kurahisisha usafiri na suala Zima la ulinzi na usalama kwa Hawa viongozi wetu, kwa kuwa Kama viongozi wetu wangetumia mfumo wa misafara kwa kilo mmoja Basi ingetumia muda mrefu Sana kumalizika wote na hata suala la ulinzi lingekuwa gumu Sana hasa kwa kuzingatia kuwa Ni Kama viongozi wote wa serikali na nchi walikuwa pale, hivyo hoja yako uliyotoa hapo juu inakosa mashiko
Hoja ya pili ambayo mh Rais wetu mpendwa alipokuwa kule msumbiji Napo Naoona umeamua kupotosha na kuandika uongo wako hapa kwa kuficha ajenda zako za kinafiki, kwani suala Hilo nilishalieleza Sana humu kwa wapotoshaji Kama wewe, kwamba ifahamike kuwa mh Rais wetu mpendwa hakutumia glas aliyotumia mwenyeji wake, Bali glasi ilibadilishwa na akapewa nyingine na msaidizi wake hatua chache alipotoka alipokuwa Amesimama mwenyeji wake, hata namna mh Rais wetu mpendwa alivyoipokea ilionyeshwa vyema japo kwa vipofu Kama wewe na mliojaa mihemuko na kukosa umakini unaweza usiona chochote kile na ukaja kupotosha hapa Kama ulivyofanya sasa
Mwisho ifahamike kuwa suala la uteuzi na utenguzi wa viongozi wa kuteuliwa na mh Rais wa nchi linabaki mikononi mwa mh Rais pekee , yeye ndiye anayeweza kufahamu kwa wakati gani na mazingira yapi mtu fulani ataweza kufaa katika nafasi fulani na kumudu majukumu yake kuendana na matarajio yake Rais, kwani Leo ndio Mara ya kwanza kufanya hivyo? Kwani mawaziri wangapi walikuwa katika wizara hiyo na wakapumzishwa na kupisha wengine? Kwani Leo ndio Mara ya kwanza kufanywa utenguzi na uteuzi mpya?
Tumuache mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani afanye kazi na watu au viongozi anaoona wanastahili kumsaidia kwa wakati huu katika kuwatumikia watanzania
Kazi iendeleee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Sababu ulizozitoa zote ni sahihi na ongezea na hii, kwa nini alialikwa na Biden na kuandaliwa chakula cha dhifa ya Kitaifa white House juzi Kati yeye kama yeye badala ya VP aliyekuwepo huko au Rais?
Najaribu kuwaza tuu.
Kwa level yake hivyo ni vijisenti tu!!Mulamula ametumbuliwa. Maswali ni Mengi lkn yapo mawili makubwa yaliyoaibisha nchi yetu kimataifa, yamkini yamesabishwa na makosa ya balozi zetu (zilikuwa chini ya Mulamula) kushindwa kuratibu mambo vizuri?
1. Je, ni ile kadhia ya mama kupandishwa school bus kwenye mazishi ya malkia?
2. Je, ni ile clip iliyoaibisha nchi kwa kumuonesha mama akigonga glasi na Rais Nyusi kisha akamnywesha Rais Nyusi na kunywa mwenyewe kwa glasi ileile?
Au tuhuma hizi zina ukweli?
View attachment 2375381
View attachment 2375383
Tuna haki ya kuuliza na kujua maana wanakula kodi na tozo zetu.
Imperium locuta; causa finita est
Authority has spoken, the matter is settled.
... waingereza walitumia akili sana! Sipachi picha kiranja wa dunia angechanganywa kwenye bus; hayo maombi ya misaada na shida ambazo angeliliwa sasa; ingekuwa balaa. Angefika msibani kachoka sana mzee wa watu!Sidhani ni issue ya school bus kwasababu marais wote walipandishwa kwenye bus ispokuwa tu kiranja wa dunia alitumia usafiri wake.
... ndio ile habari ililetwa humu baadhi ya viongozi wa Afrika warekodiwa wakitumbua maisha aghali Marekani?Inahusika na ujumbe wenu kwenda New York kwenye general assembly na kukaa kwenye hoteli ya kifahari wakati huku mnang'ang'ana na tozo. Kuna clip ipo sosho midia!!!
... kwa hiyo tutegemee the same?Unamweka Mhaya kuwa Waziri wa Mambo ya nje ya nchi tena mwanamke unategemea nini?
π π π π πmwana akaona anataka kupelekeshwaaJPM alimtumbua kisa alimshinikiza aende kwenye kikao kimojawapo huko ugaaubuni JPM akamwambia nitaenda, muda ukakaribia Mulala akamkumbusha tena JPM kuwa tunaomba hakikisho lako Mhe. Rais kama unaenda au huendi, JPM akamjibu Mlamula kuwa nitakwambis..
Mlala kama mkuu wa protocal ikabidi amshirikishe marehe Che Nkapa, ndo Nkapa akampigia JPM kumuuliza 'Hivi we unajua una kikao nje na kwa we bado Rais mpya inabidi uende lau ujitambulishe huko kwa wenye dunia yao?'
JPM akamjibu Nkapa kwa upole kuwa nitaenda mzee wangu..
Kwa hasira JPM akamgeukia Mlamla..'we umenishtaki kwa Mkapa ili iweje? sasa SIENDI we nend wewe na huyo Mkapa wako na sitaki kufanyakazi na wewe tena na nisikuone hapo Ifisini ahahaha
Nakumbuka usiku ule Mulamula akampigia mkapa yaliyojili ..Mkapa akaogopa akasema we achana naye Mwehu huyo..ahahaha
Wenda ni kweli ila huyo mama amefanya kazi muda mrefu nje ya nchi kwenye masuala ya diplomasia hivyo mkwanja atakuwa nao. Bongo ukifanikiwa uswahili unakuwa mwingi hoja hapo wangeibua ufisadi alioufanya ningeelewa ila kuchukia mafanikio ya mtu ni roho mbaya tu mawazo ya kimasikini.Nimesoma sehemu amenunua jumba marekani wanadai hiyo ndio sababu
Huku utajiri ni dhambiWenda ni kweli ila huyo mama amefanya kazi muda mrefu nje ya nchi kwenye masuala ya diplomasia hivyo mkwanja atakuwa nao. Bongo ukifanikiwa uswahili unakuwa mwingi hoja hapo wangeibua ufisadi alioufanya ningeelewa ila kuchukia mafanikio ya mtu ni roho mbaya tu mawazo ya kimasikini.