Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
Adui ni genge ccm
MKuu mbona unamdharau sana Nape?Lakini kajipenyezea Mtama.
Do you get the logic behind his statement? Au unakurupuka tu?
kwa Lema?punguza bange wewe hahahahahaha
huyu mama alijipambanua kama mpambanaji dhidi ya ufisadi na kujizolea tuzo ya mwanamke jasiri zaidi lakini kwa mshangao wa wengi wapiga kura wamemzuia kuingia bungeni nini sababu za kuanguka kwake?
Sio kwa Lema,kwani Arusha watu hawaitaki CCM kabisa,hats umsimamishe Nape kwa tiketi ya Chadema atapita
Katika watu ambao sikutegemea watashindwa ni pamoja na huyu mama sijui tu ilikuwaje
Huyu mama alijipambanua kama mpambanaji dhidi ya ufisadi na kujizolea tuzo ya mwanamke jasiri zaidi lakini kwa mshangao wa wengi wapiga kura wamemzuia kuingia bungeni nini sababu za kuanguka kwake?
Aibu sana hii...mtu wanayemchukia na kumbeza akiwa ccm sasa wamvhague mtu huyo huyo akiwa chadema?
Bonge la aibu.
Ndo hayo hayo yamekosesha watu urais na uspika.
Huna akili nzuriYule mama, watu walikuwa wanamlia timimg tu! Huwezi kuolewa Dodoma, unaishi na Mume wako huko, halafu uwakilishe wananchi wa Same (wapare), ambao ulishawaka kwa kuolewa na mgogo! Never .... ndio maana tumemkata!