Kutokuwepo sio issue lakini kushindwa kutoa taarifa ya kutokuwepo huko nadhani ni issue ambayo inahitaji maelezo kutoka kwa JN.
nini haikubaliki?
Ndo jibu gani sasa ilo?Kwani wewe ni mwananchi wa Arumeru? Au mwanachama wa CDM?
ndojibu gani sasa ilo?