Hennes kolon
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 673
- 1,287
inasikitisha Sana.Yaani alilkuwa ni mojowapo ya wabunge ambao niliona ni watetezi wa rasilimali za nchi, mwenye kuchukia rushwa na ufisadi. lakini kwa jinsi alivyojipambanua kwenye hili la bandari nimegundua kwamba alikuwa ana pretend ni kondoo kumbe ni mbwa mwitu tu
Wakati mwingine shule inasaidia! Anaongea kulingana na uwezo wa akili zake! Jambo la bandari ni kubwa kuliko uwezo wake wa kufikiri!Musukuma ni Kati ya waheshimiwa wachache pale mjengoni waliokuwa makini hasa linapokuja suala la kulinda Mali za umma, ikiwemo miradi kadhaa ambayo utekelezaji wake haueleweki.
Mfano tu suala la hereni na tenda aliyopewa kuendesha hilo zoezi jamaa alipiga kelele Sana na ni kweli alikuwa sahihi, likaja sakata la kampuni ya ku print stika, alipiga kelele Sana na alikuwa sahihi. Ila nashangaa kwenye Jambo nyeti la bandari kageuka, kama sio Yule msukuma niliyekuwa namsikiliza siku zote, yaani msimamo wake kwa Sasa Yuko pamoja na Dubai.
Nini kimempata huyu mh. au ni ile tour ya huko Dubai alikoenda imemtoa nje ya reli. Sio Tena Yule msukuma ninayemjua.
PESA ZA WAARABU MKUUMusukuma ni Kati ya waheshimiwa wachache pale mjengoni waliokuwa makini hasa linapokuja suala la kulinda Mali za umma, ikiwemo miradi kadhaa ambayo utekelezaji wake haueleweki.
Mfano tu suala la hereni na tenda aliyopewa kuendesha hilo zoezi jamaa alipiga kelele Sana na ni kweli alikuwa sahihi, likaja sakata la kampuni ya ku print stika, alipiga kelele Sana na alikuwa sahihi. Ila nashangaa kwenye Jambo nyeti la bandari kageuka, kama sio Yule msukuma niliyekuwa namsikiliza siku zote, yaani msimamo wake kwa Sasa Yuko pamoja na Dubai.
Nini kimempata huyu mh. au ni ile tour ya huko Dubai alikoenda imemtoa nje ya reli. Sio Tena Yule msukuma ninayemjua.
Amepewa Vx V8 km000000,unalijua?umewahi kulipanda?Kuna mwana family yoyote analo?Musukuma ni Kati ya waheshimiwa wachache pale mjengoni waliokuwa makini hasa linapokuja suala la kulinda Mali za umma, ikiwemo miradi kadhaa ambayo utekelezaji wake haueleweki.
Mfano tu suala la hereni na tenda aliyopewa kuendesha hilo zoezi jamaa alipiga kelele Sana na ni kweli alikuwa sahihi, likaja sakata la kampuni ya ku print stika, alipiga kelele Sana na alikuwa sahihi. Ila nashangaa kwenye Jambo nyeti la bandari kageuka, kama sio Yule msukuma niliyekuwa namsikiliza siku zote, yaani msimamo wake kwa Sasa Yuko pamoja na Dubai.
Nini kimempata huyu mh. au ni ile tour ya huko Dubai alikoenda imemtoa nje ya reli. Sio Tena Yule msukuma ninayemjua.
Musu ku.maMusukuma ni Kati ya waheshimiwa wachache pale mjengoni waliokuwa makini hasa linapokuja suala la kulinda Mali za umma, ikiwemo miradi kadhaa ambayo utekelezaji wake haueleweki.
Mfano tu suala la hereni na tenda aliyopewa kuendesha hilo zoezi jamaa alipiga kelele Sana na ni kweli alikuwa sahihi, likaja sakata la kampuni ya ku print stika, alipiga kelele Sana na alikuwa sahihi. Ila nashangaa kwenye Jambo nyeti la bandari kageuka, kama sio Yule msukuma niliyekuwa namsikiliza siku zote, yaani msimamo wake kwa Sasa Yuko pamoja na Dubai.
Nini kimempata huyu mh. au ni ile tour ya huko Dubai alikoenda imemtoa nje ya reli. Sio Tena Yule msukuma ninayemjua.
Musukuma ni Kati ya waheshimiwa wachache pale mjengoni waliokuwa makini hasa linapokuja suala la kulinda Mali za umma, ikiwemo miradi kadhaa ambayo utekelezaji wake haueleweki.