Nini kimempata Dr. Mwigulu Nchemba?

Una uhakika bi. Clinton na Lowassa hawakushinda kura za wananchi ?!
Sema magenge yaliwapa wapinzani wao uongozi.
 
Uwaziri kukosa, rais kukosa, anaombe kazi kwa musiba
 
Msomi kama Mwigulu hastahili kabisa kuamini katika muujiza hata kidogo
 
Raha ya milele uwape eeeeee bwana, na mwanga wa milele uwaangazie na familia zao uzidi kuzineemesha eee bwana, wapumzike kwa amani. Na majerui uzidi kuwapa afya eee bwana, wapone haraka aaaamen.
 
Mwigulu kashapoteza umaarufu wake!!
Ukipewa uwaziri kwa kipnd hiki nahis unapoteza credits nying mana jiwe uwa akilala vbaya tu unaye
 
Wanasemaga hata Yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi, na hakuna binadamu mkamilifu. Na hakuna dhambi kubwa kuishinda nyingine,kama ulimuona huko ni jambo jema, binafsi namuunga mkono. Ni jambo jema mwanadamu kujitafakari, ukiona unakosea mahali unajirekebisha, na kama ulikosea na unatubu/kuomba msamaha kwa imani yako. Kuomba msamaha siyo jambo la fedheha, ni jambo jema na ni ukomavu.
Kwa nafasi aliyohudumu ilikuwa kubwa na iliyogusa wengi. Kukoseana ni kawaida, hivyo kuomba msamaha na kujutia mabaya ulitotenda siyo fedheha ni ujasiri, kama ilivyo kujipingeza ufanyapo mazuri/mema, vivyohivyo kujutia mabaya na kutubu au kuomba msamaha. Kuomba msamaha isitafsiriwe kama unyonge au Ujinga. Tuone ni ujasiri, kama ambavyo mtu unaweza kujiuzuru unapoona umeshindwa kudeliver au umekosea sana na ukawapisha wanao weza.
Imani yake na imponye na kila la kheri kwake.
 
Mkuu siku ukimuona anahudumiwa pze uje ufukue hili kaburi tumchek alikuwa na mapepo gani maana si kwa roho mbaya vile.
 
Siku akilipuka mapepo tujulishe,yesu wa Nigeria akawizi kudondosha ata wa heshmiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…