Bwana uber
Member
- Jul 30, 2018
- 22
- 33
Yesu ni kwakila mtu wakila hari na alikaHabarini wanajamvi
Jana nikiwa nimekaa naangalia chanel yangu pendwa ya Emanuel Tv inayomilikiwa na mtumishi wa mungu Tb Joshua,nilipata mshtuko kidogo kumuona waziri wa zamani wa Mambo ya ndani Dr MWIGULU NCHEMBA akiwa ndani ya kanisa naakionekana mtu mwenye shida kubwa akiwa anasubili huduma ya mtumishi wa mungu.
Nilijiuliza maswali mengi lakini moja ni nikajiuliza huyu mtu nini kimempata hadi ameenda kwa Tb Joshua?tumezoea kuona watu wanaoenda kule niwatu wenye matatizo mazito.
Je huyu mwenzetu nini kimempata?
kwahiyo yesu yupo nigeriaYesu ni kwakila mtu wakila hari na alika
JPM ni chaguo la MWENYE ENZI MUNGU walahi
Habarini wanajamvi
Jana nikiwa nimekaa naangalia chanel yangu pendwa ya Emanuel Tv inayomilikiwa na mtumishi wa mungu Tb Joshua,nilipata mshtuko kidogo kumuona waziri wa zamani wa Mambo ya ndani Dr MWIGULU NCHEMBA akiwa ndani ya kanisa naakionekana mtu mwenye shida kubwa akiwa anasubili huduma ya mtumishi wa mungu.
Nilijiuliza maswali mengi lakini moja ni nikajiuliza huyu mtu nini kimempata hadi ameenda kwa Tb Joshua?tumezoea kuona watu wanaoenda kule niwatu wenye matatizo mazito.
Je huyu mwenzetu nini kimempata?
Acha urongo biblia inasema nalikujua tangu ukiwa tumboni mwa mama yako.hata uombe vipi kama Mungu hajapanga haitokuwaKama binadamu yeyote, Mwigulu hajakamilika bado,hivyo basi anahitaji msaada utokao kwa Mungu. Mungu hutumia njia hii ya maombi kutujibu mahitaji yetu. Tazama,kila mtu ana haja yake ndani ya moyo wake. Ikiwa ni hivyo,kwamba maombi ni njia ya mahitaji yetu,basi tusipoomba hatuwezi kupokea.
Labda tuangalie mfano mdogo wa kawaida kabisa;
Chukulia una watoto watatu nyumbani mwako,alafu mtoto wako mmoja akawa na uhitaji wa kununuliwa daftari la mazoezi la hesabati. Kisha;mtoto huyo akawa kimya akisubiri umnunulie pasipo yeye kukuomba anachokihitaji kutoka kwako. Swali,je utamnunulia hilo daftari pasipo kukuomba? Utajuaje kama daftari lake limeisha na anahitaji daftari jingine? Ukweli ni kwamba,hutaweza kumnunulia kwa sababu hajakuomba,na inawezekana usijue kama limeisha.
Isaya 1:18
KARMA