Hata hapo awali hakuwahi kugombea ubunge wala hakuwa mbunge wa viti maalmu,alikuwa mbunge wa kuteuliwa na rais.Nasikia hakugombea ubunge Jimbo lolote.
Kwenye uteuzi wa wabunge wa viti maalum (KE) pia hayumo..
Alikosea wapi huyu mama mchapakazi wa wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalum?
Acha porojooo, hata kama mzazi anakosea asirekebishwe? Jinga wewee48 Laws of power
Law #1: Never Outshine the Master
That eventually occurs when an uneducated fool leads a large group of intelligent people.Alifanya kazi yake ipaswavyo kupelekea Boss wake kuwa intimidated.
Boss wake ana Inferiority Complex of the highest order.
Hukumsikia mtu fulani akizungumzia ma Gwajima?.Nasikia hakugombea ubunge Jimbo lolote.
Kwenye uteuzi wa wabunge wa viti maalum (KE) pia hayumo..
Alikosea wapi huyu mama mchapakazi wa wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalum?
Mkuu hujamuelewa na kwa kukusaidia Ukipata muda kasome kitabu cha Makaveli kiitwacho "48 laws of power" kilichoandikwa na Robert Greene.Acha porojooo, hata kama mzazi anakosea asirekebishwe? Jinga wewee
Word.......That eventually occurs when an uneducated fool leads a large group of intelligent people.
They will always find a way to trim them to their level of thinking, leashing them and this is how puppets are created. If some restrain from being manipulated they are going to be wiped out from the circle.
This is a typical case in Malawi government😄..
Uzi ufungwe, wazalendo hawakubalikiWazalendo hawahitajiki
Watu wengine sijui mna ubongo wa aina gani. Mnajadili hawa wauaji kuwa ni serikali? Hivi wewe kwa akili zako za kawaida unaona watu wote waliouawa na kutekwa na hizi kesi za uhaini zinazofungulia kila kona ya nchi, mambo yako sawa mpaka uanze kuongelea teuzi? Hujui unahalalishi mauaji na unyama wote uliotokea? Mpaka likupate jambo gani ndiyo utajua kuwa hatuko kwenye kipindi cha kawaida.May be???
Let's hope for the good coz licha ya hii serikali kujawa na madhaifu makubwa at least yeye alikuwa smart kidogo .....
Alikwambia nani kwamba kigezo cha uchapa kazi kinaangaliwa?Nasikia hakugombea ubunge Jimbo lolote.
Kwenye uteuzi wa wabunge wa viti maalum (KE) pia hayumo..
Alikosea wapi huyu mama mchapakazi wa wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalum?