Unajua wametumia kigezo gank ku rank mkuu??Miaka ya nyuma chuo hiki kilikuwa kikisifika hadi kuingia 10 bora
Mwaka huu kimekuwa cha 36 kati ya vyuo 200.
Ukiondoa Nairobi university na american university in Cairo, vingine vyote ni kutoka SOUTH AFRIKA kwenye 10 bora.
Top 200 Universities in Africa | 2018 African University Ranking
Dodoma cha 65, SUA 67,Muhimbili 123.
Idadi ya maprofesa sidhani kama ni kigezo chenye uzito. Kinachoangaliwa hasa naamini ni quality ya utafiti unaofanyika na machapisho, kazi ambayo hata madokta (PhDs) wanaweza kuifanya vizuri tu. Chuo kinakuwa cited mara ngapi katika peer reviewed journals za kimataifa katika tanzu mbalimbali n.k. Hata uwe na maprofesa elfu kama hawafanyi utafiti na kuchapisha kwenye peer reviewed journals za kimataifa ni kazi bure !!!mojawapo ya sifa za ranking kuwa juu ni uwepo wa maprofesa wengi. jamaa kachukua maprofesa karibia wote pale wamebaki madoctor tu. hadi inatia huruma. profesa badala ya kufundisha anaenda kuwa mwanasiasa.
Chuo cha UD, baada ya kuvunjwa vunjwa na kutoa matawi mengi kimepoteza uwezo wa kushika nafasi zake za juu katika rankings hizo. Sio kwamba ubora wake wa kitaaluma umepungua. La hasha.
UD ya zamani ilikuwa inajumuisha colleges nyingi kama vile Ardhi, Muhimbili, CoET, Mkwawa, MUCE nk.
UNISA kuna baadhi ya course nacho wamekivunja kama UDSM tena muda mrefu mbona wao wapo top tenChuo cha UD, baada ya kuvunjwa vunjwa na kutoa matawi mengi kimepoteza uwezo wa kushika nafasi zake za juu katika rankings hizo. Sio kwamba ubora wake wa kitaaluma umepungua. La hasha.
UD ya zamani ilikuwa inajumuisha colleges nyingi kama vile Ardhi, Muhimbili, CoET, Mkwawa, MUCE nk.
I meant to write DUCE.I menat DUCE. Sorry.
UDOM INA COLLEGE NYINGI TUU TENA KUBWA KAMA NANE HIVI LAKIN INAZIDI KUPANDA SIKU HADI SIKU HAISHUKI CHINI JAPO UDSM KITANZANIABYA KWANZA YENYEW IMEKUA YA PILI LAKIN MIAKA MIWILI NYUMA ILIKUA KWA TZ UDOM INASHIKA NAFAS YA MBALI LAKIN INAZID KUSOGEA MBELE TUU. SO KUGAWANYIKA COLLEGES SIO SABAB MKUUChuo cha UD, baada ya kuvunjwa vunjwa na kutoa matawi mengi kimepoteza uwezo wa kushika nafasi zake za juu katika rankings hizo. Sio kwamba ubora wake wa kitaaluma umepungua. La hasha.
UD ya zamani ilikuwa inajumuisha colleges nyingi kama vile Ardhi, Muhimbili, CoET, Mkwawa, DUCE nk.
This uniRank page features the 2018 African University Ranking of the top 200 officially recognized higher-education institutions in Africa meeting the following uniRank selection criteria:Unajua wametumia kigezo gank ku rank mkuu??
UDOM is going to take overHivyo UDOM yangu imeshafika nafasi ya 2 kwa TZ?
Jibu hili limebeba ufasaha mkubwa.Chuo cha UD, baada ya kuvunjwa vunjwa na kutoa matawi mengi kimepoteza uwezo wa kushika nafasi zake za juu katika rankings hizo. Sio kwamba ubora wake wa kitaaluma umepungua. La hasha.
UD ya zamani ilikuwa inajumuisha colleges nyingi kama vile Ardhi, Muhimbili, CoET, Mkwawa, DUCE nk.
Dr Lwambuka RIP Dr. walimbania uprofessor mpaka mwisho wa maisha yake daah UDSM siyo aiseePoint hii...huyo jamaa wanamuita Dr na siyo prof nilushawai skia kadhia yake. Nafkiri yupo pale makeniksi coet. Lakini udsm wana hizo mambo sana. Unaweza pata masters nje lkini ukija wanakwambia hawaitambui mpka sijui uitetee sijui ufanye vitu gani ilishawau kumkuta assistance lecturer mmoja pale
KweliChuo cha UD, baada ya kuvunjwa vunjwa na kutoa matawi mengi kimepoteza uwezo wa kushika nafasi zake za juu katika rankings hizo. Sio kwamba ubora wake wa kitaaluma umepungua. La hasha.
UD ya zamani ilikuwa inajumuisha colleges nyingi kama vile Ardhi, Muhimbili, CoET, Mkwawa, DUCE nk.
Assistance lecturer = assistant lecturerPoint hii...huyo jamaa wanamuita Dr na siyo prof nilushawai skia kadhia yake. Nafkiri yupo pale makeniksi coet. Lakini udsm wana hizo mambo sana. Unaweza pata masters nje lkini ukija wanakwambia hawaitambui mpka sijui uitetee sijui ufanye vitu gani ilishawau kumkuta assistance lecturer mmoja pale
Same thing. MUCE = Mkwawa University College of EducationMkwawa na muce ni vitu viwili tofauti ?