Kama chuo kinahangaika na watoa taarifa za nyufa za majengo yake na kuwasimamisha wanafunzi kwa maelekezo ya walioko juu huo ubora utatokea kwenye nini
Wakati wenzao wanafanya tafiti za kitaaluma wao wapo busy kuchunguza nani anampinga na kumkosoa Rais wamfukuze. Chuo chenyewe ndio mtaji wa wanasiasa wa hovyo waliokosa misimamo.
Kama Kabudi, Mpango, Kitila, Muhongo, Luoga, Maboko, Mgaya, Ndalichako, Tulia....njoo kwa wahitimu wake Rais, Mwigulu, Lipumba, Chenge wanatokea hapo, ni chizi tu ndio anaweza kukiweka top 3