mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
hii sababu hutolewa mara nyingi.Chuo cha UD, baada ya kuvunjwa vunjwa na kutoa matawi mengi kimepoteza uwezo wa kushika nafasi zake za juu katika rankings hizo. Sio kwamba ubora wake wa kitaaluma umepungua. La hasha.
UD ya zamani ilikuwa inajumuisha colleges nyingi kama vile Ardhi, Muhimbili, CoET, Mkwawa, MUCE nk.
Poor reason kunguru weweChuo cha UD, baada ya kuvunjwa vunjwa na kutoa matawi mengi kimepoteza uwezo wa kushika nafasi zake za juu katika rankings hizo. Sio kwamba ubora wake wa kitaaluma umepungua. La hasha.
UD ya zamani ilikuwa inajumuisha colleges nyingi kama vile Ardhi, Muhimbili, CoET, Mkwawa, MUCE nk.
Hakukuwa na sababu ya kumuita kunguru... We ungeweka reasoning zako, ili sisi tulinganishe na kutoka na jibu nani ni kunguru... KWA ULIVYOFANYA, KUNGURU ANAONEKANA WAZIPoor reason kunguru wewe
kwa hizo takwimu na ukiangalia umri wao, wakikomaa watatutoaNow day mkombozi na muwakilishi aliyebaki nchini na anayetolewa macho yote kwenye upande wa elimu ni UNIVERSITY OF DODOMA
mojawapo ya sifa za ranking kuwa juu ni uwepo wa maprofesa wengi. jamaa kachukua maprofesa karibia wote pale wamebaki madoctor tu. hadi inatia huruma. profesa badala ya kufundisha anaenda kuwa mwanasiasa.Miaka ya nyuma chuo hiki kilikuwa kikisifika hadi kuingia 10 bora
Mwaka huu kimekuwa cha 36 kati ya vyuo 200.
Ukiondoa Nairobi university na american university in Cairo, vingine vyote ni kutoka SOUTH AFRIKA kwenye 10 bora.
Top 200 Universities in Africa | 2018 African University Ranking
Dodoma cha 65, SUA 67,Muhimbili 123.
hahahaHakukuwa na sababu ya kumuita kunguru... We ungeweka reasoning zako, ili sisi tulinganishe na kutoka na jibu nani ni kunguru... KWA ULIVYOFANYA, KUNGURU ANAONEKANA WAZI
vipi, nasikia hata kukubalika kuwa prof pale ni kazi kubwa sana.mojawapo ya sifa za ranking kuwa juu ni uwepo wa maprofesa wengi. jamaa kachukua maprofesa karibia wote pale wamebaki madoctor tu. hadi inatia huruma. profesa badala ya kufundisha anaenda kuwa mwanasiasa.
you are right, ajabu yake mtu anayekwambia hujakidhi viwango, umemzidi akili na welevu mbali sana. udsm tatizo kubwa ni hilo wanaamini wao tu ndio bora na wako juu sana kiviwango, wanabania wenzao. nilisoma udsm, masters nilienda kusoma ulaya, nikaona utofauti wa akili mazingira ya kusoma, urafiki na waalimu na kutobaniana, aisee udsm wajinga sana na walitutesa sana.vipi, nasikia hata kukubalika kuwa prof pale ni kazi kubwa sana.
kuna jamaa pale coet nasikia alikuwa prof huko ulaya lkn alivykuja pale wakamkazia kuwa hakidhi viwango. Labda urasimu wa uprofeseshwaji nao unachangia. Kwani hakuna utamaduni wa kukuza kizazi kipya kichukue nafazi za nao wanaoenda siasani au serikalini.
nini kifanyike mkuu, warudi kwenye viwango vya ubora licha ya colleges kama MUHAS,MUCE,UCLAS na wenda pengine IJMC kujitoa.you are right, ajabu yake mtu anayekwambia hujakidhi viwango, umemzidi akili na welevu mbali sana. udsm tatizo kubwa ni hilo wanaamini wao tu ndio bora na wako juu sana kiviwango, wanabania wenzao. nilisoma udsm, masters nilienda kusoma ulaya, nikaona utofauti wa akili mazingira ya kusoma, urafiki na waalimu na kutobaniana, aisee udsm wajinga sana na walitutesa sana.
we jamaa hivi, Kuna tofauti kati ya MUCE na Mkwawa?Chuo cha UD, baada ya kuvunjwa vunjwa na kutoa matawi mengi kimepoteza uwezo wa kushika nafasi zake za juu katika rankings hizo. Sio kwamba ubora wake wa kitaaluma umepungua. La hasha.
UD ya zamani ilikuwa inajumuisha colleges nyingi kama vile Ardhi, Muhimbili, CoET, Mkwawa, MUCE nk.
ila huyo rwaitama nasikia story nyingi kuliko kufundisha. Lakini wenda hizo stori zilikuwa zinafungua vijana bongo.Siasa zimekuja kuleta shida UDSM. Ile mijadala ya kusisimua iletwayo na vijana walioivishwa elimu kutoka wahadhiri nguli kama Prof. Barely, Dr Lwaitama hamna tena