mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,758
Miaka ya nyuma chuo hiki kilikuwa kikisifika hadi kuingia 10 bora
Mwaka huu kimekuwa cha 36 kati ya vyuo 200.
Ukiondoa Nairobi university na american university in Cairo, vingine vyote ni kutoka SOUTH AFRIKA kwenye 10 bora.
Top 200 Universities in Africa | 2018 African University Ranking
Dodoma cha 65, SUA 67,Muhimbili 123.