last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,749
- 3,995
Ratco umepanda wewe,Tahmeed na mengineyoShabiby
Kimbinyiko
ABC
Japo wana mabasi ya kichina ila wapo vizuri sana kuliko mabasi yote ya kaskazini.
Naongea hivi kwasababu nimepanda mabasi haya na yale ya kaskazini.
Hela yake kwanini unampangia boss?Kwani ukipanda 2x2 unapata shida gani?au ni ubinafsi tu unakusumbua?
Its just a question,simpangii.Hela yake kwanini unampangia boss?
Hakuna sehemu yeyote niliyoandika kwamba kuna Ratco ya Dar Arusha..kama ipo naomba unionyeshe..Kwenye list hapo Nmeshapanda KIDIA, MACHAME, TAHMEED na HAPPY NATION. Hakuna aliyeniconviceHakuna ratico ya dar arusha umebugi na nikujuze 2 unaijua
Tahmmed
Masalu
Marangu coach
Extra luxuly
Kidia one
Machame
Happy nation
Achana na hvyo vyuma hzo zote ni pamba
Sasa hvyo vitu vimejaa kanda ya kati mkuu na si vyakutungua kama huko kaskazini.Kuna mmoja anasema kaskazini hakuna gari za maanA
Mkuu waambie wewe ..mana nikiwaambia mm wanabisha.Shabiby
Kimbinyiko
ABC
Japo wana mabasi ya kichina ila wapo vizuri sana kuliko mabasi yote ya kaskazini.
Naongea hivi kwasababu nimepanda mabasi haya na yale ya kaskazini.
Kilimanjaro , Lim safari, nmeshayapanda.na si mara moja..ni ovyo kabisa..no value for money..Lim safari magari yao mengi yamechoka..inawezekana wanayo mapya but ni machache sana.Acha uzwazwa wewe na utambue njia ya kaskazini kuna magari mazuri na yenye huduma bora kushinda hiyo kanda ya kati ...
Kilimanjaro Exp
Tahmeed
Lim Safaris
Raqeeb
Na mengine mengi ..
2x2 za scania za Kilimanjaro zipo spacious and comfy kuliko hiyo 2x1 ya Tahmeed.Ratco umepanda wewe,Tahmeed na mengineyo
Ratco nazikubali tatzo hakuna za Dar ArushaBasi la RATCO .
Mkuu umefika kasikazinMkuu waambie wewe ..mana nikiwaambia mm wanabisha.
hapo kweli kuacha youtong ni uchizi ..Acha unaa wewe,Bombadia kila siku zina ahirisha safari.
Tatizo ni Huyu Mchaga YUDA MREMI hataki kuachana na SCANIA ambayo ni ghali.
Scania Saab Milioni 700
Youtong Mil 170
Saa linganisha hapo
Hyooo kilimanjaro hata ile luxuly bado ni mbovu 2 hakuna kilimanjaro iliyovizur sema wana huduma nzuri sana ndo kinachowaweka mjin2x2 za scania za Kilimanjaro zipo spacious and comfy kuliko hiyo 2x1 ya Tahmeed.
Nimepanda zote na nimeexperience the difference.
Hapo kwa 2x1 unaona za maana kwasababu kuna wifi, screens ila hazijafikia ubora wa scania hata kwa nusu, hata mchina alotengeneza anajua hilo.
Ngorika ndo anatawala Kanda ya KaskaziniBado anaongoza Kwa kanda ya kaskazini na njia ya nairobi