Nini kimeikumba Dar Express?

Nini kimeikumba Dar Express?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
Dar express ni brand kubwa sana kwenye tasnia ya usafirishaji Tanzania.

Ime-set standards nyingi kwenye usafirishaji hasa kwa kanda ya kaskazini ambao zimeigwa na mabasi mengine kwenda mikoa mingine.

Sasa hivi wana magari yamechakaa mno, hakuna maintainance. Pale highway pamechoka sana.

Nimekuwa naitumia hii kampuni kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Naamini kuna wadau ambao ni loyal customers wa hii kampuni bado wanaendelea kuitumia.

Najiuliza nini kimeikumba hii kampuni? Mfikishieni ujumbe mwenye kampuni, afanye juu chini hii kampuni isife kabisa.

Naamini kuna siku Dar express itarudi kwenye ubora tuliouzoea.
 
mzee mremi mbishi... wenzake wanacheza na wachina... yeye kaamua kufa na scania zake..

bei ya scania moja unanua mchina mbili au tatu... so lazima wakimbize tu... abood alileta ubishi ila kasanda nae kaamia mchina

akikomaa na scania na hasipobadilika... lazima afunge biashara
 
Sidhani shida ni mchina.

Hata Kilimanjaro ana scania ila zinatunzwa vizuri kuliko za Dar express.
 
Mm naona amekosa management nzuri ata utunzaji wa magari umekuwa ovyo gari zimewai kuchoka sana mfano mtu saivi hawez kwenda panda marcopolo andare au ile crystal yake kwa bei juu akaacha mchina ambae anakula may be kiyoyozi comfortable seat ..chrging systems na mengineyo ..ila ajitazame upya km kwel anania achague kuwa mbunifu either kumwaga michina aua kurudi km alivyokuwa awali bila hvyo sidhan ...maana juzi nilikuwa pale shekilango daah gari inakuwa na abiria wachache sana
 
Dar express ni brand kubwa sana kwenye tasnia ya usafirishaji Tanzania.

Ime-set standards nyingi kwenye usafirishaji hasa kwa kanda ya kaskazini ambao zimeigwa na mabasi mengine kwenda mikoa mingine.

Sasa hivi wana magari yamechakaa mno, hakuna maintainance. Pale highway pamechoka sana.

Nimekuwa naitumia hii kampuni kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Naamini kuna wadau ambao ni loyal customers wa hii kampuni bado wanaendelea kuitumia.

Najiuliza nini kimeikumba hii kampuni? Mfikishieni ujumbe mwenye kampuni, afanye juu chini hii kampuni isife kabisa.

Naamini kuna siku Dar express itarudi kwenye ubora tuliouzoea.
TAHMEED anawatàwal nji yaa kaskazini.
 
Sidhani shida ni mchina.

Hata Kilimanjaro ana scania ila zinatunzwa vizuri kuliko za Dar express.
Mchina kuwa ni shida inakuja kwenye mtaji alionao,kwa mfano kama alikuwa anauwezo wa kununua scania 4 ambayo kila scania moja ni sawa na mchina tatu basi alikuwa anauwezo wakuagiza mchina 12 mpya na zingeingia kuvitamin biashara yake. Ni kweli dar express naona kama inapumulia mashine.,nakumbuka siku moja natoka nairobi nimeipanda marcopolo zile model mpya kilichonisikitisha zaidi kwenye mabasi yale wameweka chaja (usb ports) za kubumba mtaaini hii yote nikukuta soko limebadrika na na uwezo huna wakubadilika.
 
Hii kampuni nadhani ni wazeembe tu kwenye maintenance ya magari yao. mfano Marcopollo za Abood bado ziko road na zinawaka na zina zaidi ya miaka 15(toka enzi ya Scandinavian express) ukiyaona rangi ni bado zawaka hata sasa.Kwa Dar Express hiyo haipo sasa sijui service ya engine na vingine.
 
laana ya marehemu kamwe haiwezi kumuacha mtu salama...

alichomfanyia kaka yake marehemu mzee mremi wa kibaha mungu anajua ...na ndio hicho kinachommaliza mali ya dhuruma hiyo hadi kaka yake amefariki analalamikia hyo dhuruma aliyofanyiwa

aliyestahili kuwa mwenye mali amefariki na hyo kampuni nayo lazma ifariki imfate marehem mzee mremi
 
Back
Top Bottom