Hajto JF-Expert Member Sep 30, 2013 5,592 5,481 Feb 1, 2021 #4 Nahisi promo haikuwepo na vile tv yao haipo hewani.
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,672 68,637 Feb 1, 2021 #5 Keagan Paul said: Wakuu et nini kinaweza kuwa kimefanya Wasafi washindwe kuujaza Uwanja wa Uhuru kwenye Show yao ya Juzi? Click to expand... Mkuu utaambiwa "ETAZI", tukubali tu WAISIBII walijaza hadi watu wakashindwa kuingia ndani Nyomi lilikuwa sio la nchi hii.
Keagan Paul said: Wakuu et nini kinaweza kuwa kimefanya Wasafi washindwe kuujaza Uwanja wa Uhuru kwenye Show yao ya Juzi? Click to expand... Mkuu utaambiwa "ETAZI", tukubali tu WAISIBII walijaza hadi watu wakashindwa kuingia ndani Nyomi lilikuwa sio la nchi hii.
Mapensho star JF-Expert Member Jun 30, 2016 3,052 4,075 Feb 1, 2021 #6 Pengine mambo ya January vyuma kukaza.
shangwe1 JF-Expert Member Jan 12, 2017 445 348 Feb 1, 2021 #8 park don said: Show ipi tena jamani? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app