Nini Kilimkuta Dr Ferdinand Masako?

Nini Kilimkuta Dr Ferdinand Masako?

Mzungu aliletwa aongoze managemen ya muhimbili wachaga wa muhimbili.muhas na walioko wizara ya afya walimfukuza kama mbwa ona sasa hospitali inavyokufa

Undu;
Mleta mada anazungumzia mengine weye mwenye kijiba cha moyo tiyari umeshaleta ukabila. Kweli upuuzi hauna utu. Sema kama ni hao wachaga wako walimuua Dr. Masau usibabaike. Kama ni mzungu alifukuzwa ka mbwa nawaunga mkono hao wachaga kwani Tz tunao viongozi wazuri tu.
Unajua huyo mzungu qualified analipwa ngapi kule kwao?? Iweje aje kupoteza mda wake hapa Tz?? Hana sifa huyo ndo maana hao wachaga wako wakamtimua.
Mnaenda kuleta kina Maximo kuja kulamba fedha yetu huku kina Kibaden hamuwasaidii kuongeza ufundi. Uzalendo umeenda wapi jamani?? Hizo pesa za kulipia mabingwa feki si muwapeleke wazalendo huko kwao wakajifunze warudi kuja fanya mengi kwetu? Angalia kina Dr Winani. Umeona wanayo yafanya huku kwetu baada ya kukataa kuishi huko ughaibuni??
 
Mimi nataka nielezwe kuwa Je tiba hiyo ya moyo katika taasis ya Dr Masao aliyetokea marekani ilifikia viwango stahiki?

Au ni kwa sababu alitangazwa sana.

Tunajua outcomes za wagonjwa walioenda kutibiwa kwake?

Was he real or mjasiliamali?

Hivi ukiambiwa ufuate miongozo inakuwa nongwa na kufitiniwa?

Tuacha maneno maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa...tujifikirishe!
 
UFAFANUZI.1/Nadhani unamaanisha Dr.Ferdinand Masao ambaye kwa sasa ni marehemu. 2/Fitna, Chuki, Mizengwe dhidi yake kutoka kwa Baadhi ya Watanzania wakiwemo Madaktari, Maafisa wa wizara ya Afya, viongozi kadhaa kutoka serikali ndiyo vilichangia sana Dr.Masao kufariki. Stress za maisha akipambana kutaka kufanikisha ndoto zake zilipelekea kuugua na kufariki. Alikuwa na ndoto njema sana na pana sana kwa Tanzania, hakuwahi kukata tamaa kabisa.3/Hakuwahi kuwatendea ubaya wowote watanzania, alitumia Muda wake, Utaalamu wake, Kipaji chake na Juhudi zake binafsi katika kuanzisha Hospitali ya kutibu na upasuaji wa moyo ili huduma hiyo iwepo nchini na watu wasiendelee kupelekwa nje, Lakini alichokumbana nacho, kinatia huzuni sana. Alifanyiwa kila aina ya Fitna, alikosa watu wakumtetea, alisakamwa mpaka basi.4/Kiukweli kabisa, Tanzania tumeitupa Lulu ya thamani sana, Dr.Masao alikuwa ni lulu tena lulu ya thamani sana. Katika hili laana iko juu ya nchi yetu. Mbegu ya Fitna tuliyoipandikiza itatutafuna mpaka basi. Kila mtaalamu atakayeibuka hapa Tanzania atapigwa vita vibaya sana. Usishangae ya Dr.Mwaka kupigwa vita badala ya kusaidiwa kusonga mbele. Ni mwendelezo ule ule.
Umeanza vizuri sana, ila umeharibu hapo mwishoni.Sangoma Mwaka.
 
Serikali ya CCM chini ya Benjamin Mkapa haichomoki hapa

Sio kweli huyu daktari alifanyiwa mizengwe na wakina Dau wa NSSF enzi ya Mkweree!! Damu ya Dr. Masao haitawaacha salama wote waliohusika na finta za kumuangamiza!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom