Nini kilikwamisha Comoro isiwe sehemu ya Tanzania?

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,247
1,635
Habar JF,

Hope mpo, hapo mlipo salama.

Mwanzoni mwa miaka ya 60s ndipo nchi nyingi zilianza au kujipatia uhuru, ikifuatiwa na miungano kadhaa ikiwemo muungano ulioleta Tanzania

Miaka 10 baadae harakati nyingine za kuunganisha Tanzania na Comoro zilianzaa
Tanzania + comoro =Tanzacom
Tanzacom ndo nchi ambayo ingezaliwa

Lakini this time mambo hayakwenda vizuri !! Hakuna huo muungano

Comoro si sehemu ya Tanzania kama ilivyobidi iwe

Je, nini kilikwamisha Tanzacom kuzaliwa?
 
Mnataka kuingiza Comoro kwenye uchumi wa kunguru sio

IMG_3463.jpg

IMG_3464.jpg

Mkuu unatakwimu au unaongelea
Comoro yenye uchumi ambao hata robo ya tz haijafika
Hiyo statistic ya 2018
Lakin ya last years 2019 tz tuko kwenye 61B
 
Kama unadhani tanzaia kuna upuuzi basi hujaona au kujua historia ya nchi hizi
Burundi
Somalia
South sudan
DRC
MSUMBIJI
afrika ya kati
Mali
Libya
Sudan
Kenya
N.k
Acheni wengine waonyeshe uwezo wao wa kuwangoza wananchi wao, bila kuwalazimisha. Mambo kama yaliotokea 28/10/20 siyo ya kuambukiza mataifa mengine.

Uchumi wetu wenyewe ni taabani, acha uhuru wa watu kujieleza na kuijadili serikali yao.

Odhis *
 
Acheni wengine waonyeshe uwezo wao wa kuwangoza wananchi wao, bila kuwalazimisha . Mambo kama yaliotokea 28/10/20 siyo ya kuambukiza mataifa mengine .

Uchumi wetu wenyewe ni taabani, acha uhuru wa watu kujieleza na kuijadili serikali yao.

Odhis *

Mkuu hizo nchi nyingi ni failed state

Afu useme Tanzania inashida basi we huijui nchi yako!! Tanzania iko no. 10 kwa ukuaji wa uchumi kutoka 2019 to 2020

-na ndo peaceful country in all africa
-kitovu cha vuguvugu la kuzikomboa nchi za africa kutoka ukoloni
-best arm
-tourist destination
Sasa uo uchumi taaban unaongelea uchumi gan nchi iko nafasi ya 10 —-sijajua usije kua unaongelea uchumi wako binafsi mfukoni
 
Back
Top Bottom