NilipeleKa Reception nikasepa..Nikapigiwa nikafanya interview nikapata...mimi naona zinaishiaga kwa masecretari wewe ulifauluje?
Anza kujitoleaKusambaza CV kwa mguu ofisi kwa ofisi...Nakuziacha mapokezi
Mkuu umesoma Kweli thread na jibu langu ukalielewa?Anza kujitolea
Mkuu siku hizi naona wamebana haswa mpaka upitie secratrieti ya ajira...Nilitaka niandike Uzi kuhusu Maswala ya Ajira etc..
Mie ni kijana bdo.
Wakat nasoma nilitamani kuajiriwa nikiwa BADO nikiwa nasoma Chuo.
Nilikosa kazi.. kwa miaka miwili mwaka wa pili ilikuw ni semester ya mwisho lazima Tufanye FIELD.
Nikaitumia hiyo FURSA.. kujijengea JINA, CONNECTION na UAMINIFU. ktk Taasisi nyeti niliyoenda kufanya Field.
Sikufichi.. wenzangu niliosoma nao Asilimia 70% walienda kufanya Field ilimradi wakamilishe Field report yao basi.. ila hawakuwaza mbele..
Mie nilitarget sehem ambay itaniwezesha kubaki kuendelea kufanya kazi.. na nikajituma kias kwamba siku nakamilisha Field yangu.. OFISI/IDARA nzima inasikitika.. wanatamani nibaki.
Inshort.
Fursa namba moja ukitaka uajiriwe.. ITUMIE FIELD vzr... Piga KAZI kweli kweli.
Pili.. Usiwe MTu wa kuwaza HELA.. yaan unataka ULIPWE ukishagundulika hivy wakat wa Field.. imekula kwako.
Tatu.. SOFT SKILLS.. ukiachia hizo skills kitu kingine cha muhimu UJUZI ulio nje ya kile unavhofanyia field.
Mfano. mimi wakat nafany Field kina baadhi ya wafanyakazi walidhani mimi ni IT wa IDARA.. kumbe siyo Profession yangu... Bali nilitumia vzr skills zangu za IT na kutatua changamoto mbalimbali.. kitu ambacho kilinipa Credit sana..
Kuwa mtulivu.. smart.. na mnyenyekevu.
After kumaliza Field KWA Kuwa MABOSS nishawafanya marafiki na wameona Utendaji kazi wangu.. after one week nikavutiwa WAYA... nikaripot SOMEWHERE.. ndipo nipo kwa SASA natumikia TAIFA.
Mkuu hongera...hii mbinu yako naomba niitumie siku chache zijazo 7bu hali si haliKupitia jamii forum.. Japokuwa huyo mtu aliyenipa kazi mpka leo cmjui...
Ila ukweli mm ni miongon mwa watu waliofaidika na jamii forum
Niliandika uzi wa kutafuta kazi.. Baadhi ya watu wakaniambia niwatumie CV.. Kweli nikatuma..
Baada ya siku 3 nikaitwa kwa interview na nikapita....