Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

Kama wewe ni msaliji mzuri utathibitisha hili hapo hapo kanisani kwako, mabint zenu tukiwatongoza wanatwambia tuje kanisani nasi tukija kweli tunakubaliwa na mzigo tunakula.
Hope siku hizi sio dhambi kwa watu wa iman moja kukunjana, right?
Sijaelewa hapo kwenye kupewa maelekezo na uongozi
Being honest siku hiz makanisani kuna madem wakali sana na ukisali tu umewapata, nadhan wanapewa maelekezo na uongozi ili kupanua kanisa... Nami huwa naenda huko kutafuta zinaa nikiishiwa Madem.
 
Kuna baadhi ya makanisa wachungaj hukaa karbu sana na vijana wa kike wazuri wazuri wakiitana Baba sijui bint yangu, Hawa ni chambo ya vijana wa kiume hapo kanisani wanachokifanya ukitongoza hukataliwi ila unapewa sharti la kujiunga na kanisa.

Bado hujaelewa?
Mkuu... Nimekuelewa vizuri. Hakika umenileta juu. Nina kadem ka hivihivi.. Nahisi kanampenda mchungaji kuliko Mimi. Kila siku ushauri nimfate yesu, niende church kwao, Mara hakawezi olewa na mtu asiyesali, mara nimpigie mchungaji cm nimsalimu maana ndiye atakaye nikabidhi Mke. Duh..... ... ...
 
Mkuu... Nimekuelewa vizuri. Hakika umenileta juu. Nina kadem ka hivihivi.. Nahisi kanampenda mchungaji kuliko Mimi. Kila siku ushauri nimfate yesu, niende church kwao, Mara hakawezi olewa na mtu asiyesali, mara nimpigie mchungaji cm nimsalimu maana ndiye atakaye nikabidhi Mke. Duh..... ... ...
Hao ni wafanya kazi wa mchunguji kitengo cha kujaza kanisa kupitia zinaa... Na wengine hulipwa kabisa wana fungu lao kwa kadri ya utendaji wao.
 
Tulipiga deal kiofisi pale Millennium tower,..nikasema kwavile hizi hela za wizi nitoe sadaka hata kidogo,nikaenda church jumapili nikatoa Kumi kumi za kutosha

Muda wa kutangaza sadaka ya asubuhi ukafika,wakataja hela Ambayo haifiki hata nusu ya hela nilio toa Mimi peke yangu..
 
.Hata mm nilikuwa ni Muslim Safi kabisa. Ila baada ya kupata elimu ya Historia ya ulimwengu na Dini.

Ndipo nilipogundua kuwa Dini ni "mind control systems".

Ndio maana Hata viongozi wa kisiasa Wana lifahamu hili na kuwatumia viongozi wa Dini Kwa ajili ya kuendelea Ku control the Mass
 
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli kuliko zingine).

Mimi niliacha Kwenda kanisani baada ya mchungaji kutumia hela ya kanisa kununua magari yake binafsi, kila akija ibadani anakuja na gari inayofanana na suti aliyovaa, kama ni suti ya blue basi gari ya blue, kama nyeusi basi nyeusi, nyeupe, maroon, kijivu in short mchungaji alikuwa na gari ya kila rangi kulingana na nguo zake.

Wakati huo mimi natembea kwa miguu tena naambiwa toa ubarikiwe. Kubwa Zaidi, mchungaji alikuwa na nyumba ndogo, na baada ya kunogewa aliamua kuoa kabisa akawa na wake wawili jambo ambalo ni kinyume na kanuni za kikristo. Nikasema hapanaaaaaaaaa.​
  • Sababu nyingine nilisoma vitabu vingi ambavyo vimefanya nisitamani kabisaa kusikia mambo ya dini hata kidogo. Vitabu kama
    • Toledot Yeshu
    • The history of God
    • Evolution of the idea of God. Na vingine vingi.
Wewe je, kipi kilikusibu?
Kumbuka tu kuwa kuacha kwenda kanisani ni hiari yako lakini kwenda jehanamu itakua lazima Kwa watends dhambi. Ukweli huu haukwepeki!
 
Back
Top Bottom