Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli kuliko zingine).

Mimi niliacha Kwenda kanisani baada ya mchungaji kutumia hela ya kanisa kununua magari yake binafsi, kila akija ibadani anakuja na gari inayofanana na suti aliyovaa, kama ni suti ya blue basi gari ya blue, kama nyeusi basi nyeusi, nyeupe, maroon, kijivu in short mchungaji alikuwa na gari ya kila rangi kulingana na nguo zake.

Wakati huo mimi natembea kwa miguu tena naambiwa toa ubarikiwe. Kubwa Zaidi, mchungaji alikuwa na nyumba ndogo, na baada ya kunogewa aliamua kuoa kabisa akawa na wake wawili jambo ambalo ni kinyume na kanuni za kikristo. Nikasema hapanaaaaaaaaa.​
  • Sababu nyingine nilisoma vitabu vingi ambavyo vimefanya nisitamani kabisaa kusikia mambo ya dini hata kidogo. Vitabu kama
    • Toledot Yeshu
    • The history of God
    • Evolution of the idea of God. Na vingine vingi.
Wewe je, kipi kilikusibu?
Nlipogundua tu SHETANI WA TANZANIA ANA NGUVU KULIKO MUNGU WA TANZANIA nkaona nilale mbele
 
Niliacha kusali kipindi flani kama miaka 3 hivi sababu za kuacha nyingi watu wengi humu wamezitaja hazina tofauti michango, mapungufu ya watumishi, maswali mengi kuliko majibu n.k

Ila nitaeleza kwanini nilirudi 😂
  • Nilikuja kujua mahusiano ya mtu na Mungu hayapatikani kwenye nyumba za ibada peke yake. Ni kitu personal.
  • Nilikuja kuona kuna sense of fulfilment/complete nikibalance matumizi ya akili, imani kwa Mungu na physical wellness.
  • Nilikuja kuamini nguvu za giza zipo, so nikahitaji strongest allience 😂.
  • Nilikuja kuanza kusoma mwenyewe maandiko ili nijue ukweli ni upi kuliko kutegemea kuambiwa na watu kila siku. Unakua hutapeliwi kizembe.
Uko vizuri... Naamini Mungu yupo ila siamini kama ndo huyu wa huku makanisani.... Naamini kuwa mi binafsi naweza mtafuta... Hatutofautiani sana kimtazamo japo siwezi kwenda church
 
Niko namalizia summarization ya Toledot yeshu, kisha nitaituma kwa anaye hitaji, kisha nitaleta summarization ya uislam namna mtume alivyocopy ukristo na mambo mengine mengi.
Naomba tuwe na uvumilivu katika hili, kama huwezi vumilia usisome, ntasema ukweli ulivyo bila kupindisha. Pia ntatoa link ya vitabu mwenye kuhitaji asome mwenyewe. Mfano Toledot Yeshu ukigoogle tu unaletewa PDF unasoma kuongeza ufahamu.

Stay tuned.
 
Niliacha kwenda, ila kwa sasa naenda for the sake of my kids. Wasije wakawa wakubwa na kuanza kulaumu kwa nini baba hakutufundisha dini na imani.

Isingekuwa hivyo habari za dini, imani na mambo kama hayo ningeachana nayo mazima.
UNAWAPOTEZA WATOTO WAKO DINI NI KANSA WATAKUJA KUKULAUMU SANA KWAKUWAAMBUKIZA HUU UGONJWA KWA MAKUSUDI
 
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli kuliko zingine).

Mimi niliacha Kwenda kanisani baada ya mchungaji kutumia hela ya kanisa kununua magari yake binafsi, kila akija ibadani anakuja na gari inayofanana na suti aliyovaa, kama ni suti ya blue basi gari ya blue, kama nyeusi basi nyeusi, nyeupe, maroon, kijivu in short mchungaji alikuwa na gari ya kila rangi kulingana na nguo zake.

Wakati huo mimi natembea kwa miguu tena naambiwa toa ubarikiwe. Kubwa Zaidi, mchungaji alikuwa na nyumba ndogo, na baada ya kunogewa aliamua kuoa kabisa akawa na wake wawili jambo ambalo ni kinyume na kanuni za kikristo. Nikasema hapanaaaaaaaaa.​
  • Sababu nyingine nilisoma vitabu vingi ambavyo vimefanya nisitamani kabisaa kusikia mambo ya dini hata kidogo. Vitabu kama
    • Toledot Yeshu
    • The history of God
    • Evolution of the idea of God. Na vingine vingi.
Wewe je, kipi kilikusibu?
Inashangaza sana, Hii huwezi kuikuta Kwa waislaam!
Umeona wewe haitoshi kuacha ibada. Sasa unamwaga roho yako chafu Kwa wengine! Hautafanikiwa. Ni wewe tu umeacha kwenda kanisa. Bado tunaendelea mbele. Unahitaji maombi wewe.
 
Afisa Mteule Drj 2 rip faza_nelly
Niko namalizia summarization ya Toledot yeshu, kisha nitaituma kwa anaye hitaji, kisha nitaleta summarization ya uislam namna mtume alivyocopy ukristo na mambo mengine mengi.
Naomba tuwe na uvumilivu katika hili, kama huwezi vumilia usisome, ntasema ukweli ulivyo bila kupindisha. Pia ntatoa link ya vitabu mwenye kuhitaji asome mwenyewe. Mfano Toledot Yeshu ukigoogle tu unaletewa PDF unasoma kuongeza ufahamu.

Stay tuned.
 
Inashangaza sana, Hii huwezi kuikuta Kwa waislaam!
Umeona wewe haitoshi kuacha ibada. Sasa unamwaga roho yako chafu Kwa wengine! Hautafanikiwa. Ni wewe tu umeacha kwenda kanisa. Bado tunaendelea mbele. Unahitaji maombi wewe.
Hakuna mwenye roho safi duniani, we ndo unafanya watu waone wote wanaosali ni mbumbumbu... Husomi ila umekariri...
ogopa kukariri.
soma
Zaburi 53:2-3 itakusaidia.

Kwa mwenye akili na mwenye kupenda dini yake na Mungu wake asomee hizi changamoto na azitatue.
 
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli kuliko zingine).

Mimi niliacha Kwenda kanisani baada ya mchungaji kutumia hela ya kanisa kununua magari yake binafsi, kila akija ibadani anakuja na gari inayofanana na suti aliyovaa, kama ni suti ya blue basi gari ya blue, kama nyeusi basi nyeusi, nyeupe, maroon, kijivu in short mchungaji alikuwa na gari ya kila rangi kulingana na nguo zake.

Wakati huo mimi natembea kwa miguu tena naambiwa toa ubarikiwe. Kubwa Zaidi, mchungaji alikuwa na nyumba ndogo, na baada ya kunogewa aliamua kuoa kabisa akawa na wake wawili jambo ambalo ni kinyume na kanuni za kikristo. Nikasema hapanaaaaaaaaa.​
  • Sababu nyingine nilisoma vitabu vingi ambavyo vimefanya nisitamani kabisaa kusikia mambo ya dini hata kidogo. Vitabu kama
    • Toledot Yeshu
    • The history of God
    • Evolution of the idea of God. Na vingine vingi.
Wewe je, kipi kilikusibu?
Kama unavyo hivi vitabu tuma aisee.....Mimi sijaacha kusali ila nimepumzika mwaka wa 4 huu nataka nirudi tena ...nikikumbuka nilivyokuwa active kanisani na ibada ngachoka mie
 
Back
Top Bottom