uwanja una mbigiri, na yeye anatembea pekupeku lazima achukue taadhali....Huyu jamaa alijizolea sana umaarufu enzi za utawala wa JAKAYA KIKWETE kwa kutoa nyimbo za kukosoa na kushauri na kuonya utawala wake nyimbo kama SALAMU MJOMBA, ASANTENI KWA KUJA, NIKIPATA NAULI nk
Lakini ghafla baada ya utawala wa JK kutoka akabalisha mtindo wa maisha na Wa kuimba nyimbo za kuasa serikali kuonya na kufundishia na kuelemisha
Akawa amejikita zaidi kwenye kusifia watawala waliofuata mfano JPM na MAMA
nachotaka kujua mbona alimkosoa na kumshauri mjomba ila wengine wote anawasifia tu
Kwa hiyo na mziki uenda kautupilia mbali!!?Wakat anakosoa hakupata chochote kitu zaidi ya nyimbo kupigwa kwny ma redio akaamua kubadilisha gia angani sasa ivi mafanikio telee mara ubalozi wa nyumba ni choo, mara ubalozi wa maji, mialiko ya ikulu ya kutoshaa, na mwendo wa kuokotaa
Anatengeneza pesa zaidi aiku hiziHuyu jamaa alijizolea sana umaarufu enzi za utawala wa JAKAYA KIKWETE kwa kutoa nyimbo za kukosoa na kushauri na kuonya utawala wake nyimbo kama SALAMU MJOMBA, ASANTENI KWA KUJA, NIKIPATA NAULI nk
Lakini ghafla baada ya utawala wa JK kutoka akabalisha mtindo wa maisha na Wa kuimba nyimbo za kuasa serikali kuonya na kufundishia na kuelemisha
Akawa amejikita zaidi kwenye kusifia watawala waliofuata mfano JPM na MAMA
nachotaka kujua mbona alimkosoa na kumshauri mjomba ila wengine wote anawasifia tu
View attachment 3379605
Umechagua upande upi?Ukikosea kuna mengi kutiwa ukilema, kulawitiwa, kufa, kupoteza kazi, kufungwa jela kinyume chake sasa
Ukisifia more money, more opportunities
Acha wivu ungekua ww unakula shavu ungepoteza muda wako kuleta umbeaHuyu jamaa alijizolea sana umaarufu enzi za utawala wa JAKAYA KIKWETE kwa kutoa nyimbo za kukosoa na kushauri na kuonya utawala wake nyimbo kama SALAMU MJOMBA, ASANTENI KWA KUJA, NIKIPATA NAULI nk