Kufuatia mgomo wa daladala hapa jijini Arusha nahisi mambo kadhaa yanaweza kujitokeza iwapo madereva na wamiliki wa magari haya wataendelea na msimamo wao hadi kufika kesho, inawezekana ikatokea fujo kati ya wagomaji kwenda kwa yale magari mengine ambayo yalijitolea kutoa huduma hiyo kwa vile madai yao ya kupinga roat mpya walizopangiwa. vilevile **** wataendelea na mgomo pia kuna uwezekano kuwa kesho kuna watakaojaribu kutoa magari yao barabarani kwa sbbu njaa itakuwa imewatandika na ndio hapo watakapoaza kupingana wenyewe kwa wenyewe km vle wahenga wsmavyo kuwa kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo,
pia kuna uwezekano wa mabasi kama vile costa yakaruhusiwa kutoa huduma badala ya pick up, pikipiki za miguu 3, au noah ambazo leo ndio ilikuwa sherehe yao, so kwa hii tathimini yangu naomba kuwaambia raia wote wa A town kuwa kesho TUJIPANGE