Nini kifuatacho kesho jijini Arusha

chingas

JF-Expert Member
Oct 29, 2014
261
102
Kufuatia mgomo wa daladala hapa jijini Arusha nahisi mambo kadhaa yanaweza kujitokeza iwapo madereva na wamiliki wa magari haya wataendelea na msimamo wao hadi kufika kesho, inawezekana ikatokea fujo kati ya wagomaji kwenda kwa yale magari mengine ambayo yalijitolea kutoa huduma hiyo kwa vile madai yao ya kupinga roat mpya walizopangiwa. vilevile **** wataendelea na mgomo pia kuna uwezekano kuwa kesho kuna watakaojaribu kutoa magari yao barabarani kwa sbbu njaa itakuwa imewatandika na ndio hapo watakapoaza kupingana wenyewe kwa wenyewe km vle wahenga wsmavyo kuwa kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo,
pia kuna uwezekano wa mabasi kama vile costa yakaruhusiwa kutoa huduma badala ya pick up, pikipiki za miguu 3, au noah ambazo leo ndio ilikuwa sherehe yao, so kwa hii tathimini yangu naomba kuwaambia raia wote wa A town kuwa kesho TUJIPANGE
 
kufuatia mgomo wa daladala hapa jijini Arusha nahisi mambo kadhaa yanaweza kujitokeza iwapo madereva na wamiliki wa magari haya wataendelea na msimamo wao hadi kufika kesho, inawezekana ikatokea fujo kati ya wagomaji kwenda kwa yale magari mengine ambayo yalijitolea kutoa huduma hiyo kwa vile madai yao ya kupinga roat mpya walizopangiwa. vilevile **** wataendelea na mgomo pia kuna uwezekano kuwa kesho kuna watakaojaribu kutoa magari yao barabarani kwa sbbu njaa itakuwa imewatandika na ndio hapo watakapoaza kupingana wenyewe kwa wenyewe km vle wahenga wsmavyo kuwa kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo,

Duuh aisee kwenye hii thread kuna bonge la NENO KUBWA apo!Moods hebu mu edit apo....
 
Mgomo wa daladala unadhiirisha wazi kauli ya JJ kuwa hii Ni serekali dhaifu hakuna Serekali yeyote madhubuti duniani inayoweza kuruhusu wananchi wake wakateseka siku nzima kwenye swala lenye ufumbuzi.
 
Wananchi tuunge mkono mamlaka husika katika kuwadhibiti hawa watu wa daldala maana wamefika mahali wanajiona wako juu ya sharia. Wanaendesha vibaya, wanasimamisha wanapotaka hata kwenye keep left kubeba abiria!!! Ujinga wanaofanya kwenye trafic light ndiyo balaa kubwa... Hawana ubavu wa kuendelea na mgomo zaidi ya siku chache....
 
kufuatia mgomo wa daladala hapa jijini Arusha nahisi mambo kadhaa yanaweza kujitokeza iwapo madereva na wamiliki wa magari haya wataendelea na msimamo wao hadi kufika kesho, inawezekana ikatokea fujo kati ya wagomaji kwenda kwa yale magari mengine ambayo yalijitolea kutoa huduma hiyo kwa vile madai yao ya kupinga roat mpya walizopangiwa. vilevile **** wataendelea na mgomo pia kuna uwezekano kuwa kesho kuna watakaojaribu kutoa magari yao barabarani kwa sbbu njaa itakuwa imewatandika na ndio hapo watakapoaza kupingana wenyewe kwa wenyewe km vle wahenga wsmavyo kuwa kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo,
pia kuna uwezekano wa mabasi kama vile costa yakaruhusiwa kutoa huduma badala ya pick up, pikipiki za miguu 3, au noah ambazo leo ndio ilikuwa sherehe yao, so kwa hii tathimini yangu naomba kuwaambia raia wote wa A town kuwa kesho TUJIPANGE

Vipi kazi ya unajimu umeanza lini? au unachochea hizo vurugu kimtindo..!? wacha waendelee kugoma shida kubwa ya hawa madereva na matajiri uchwara ni kutokujiamini hawajui maana city route na magari mengi ni mabovu, madereva hawana leseni sasa wanapiga hesabu wale traffik usa hatujawazoea itakuwaje..!? so waendelee kugoma mjini tutafika na watoto wataenda shule..!!
 
Wananchi tuunge mkono mamlaka husika katika kuwadhibiti hawa watu wa daldala maana wamefika mahali wanajiona wako juu ya sharia. Wanaendesha vibaya, wanasimamisha wanapotaka hata kwenye keep left kubeba abiria!!! Ujinga wanaofanya kwenye trafic light ndiyo balaa kubwa... Hawana ubavu wa kuendelea na mgomo zaidi ya siku chache....
Ndugu unachosema ni sahihi kabisa, yaani hawa wenye vipanya ni tatizo kubwa sana barabarani. Yaani kwa kweli wanakera na jinsi wanavyoendesha hizo gari zao.
 
Back
Top Bottom