Nafikiri yuko wazi ukitafakari kidogoMimi sijaelewa mtazamo wa mkuu kwenye wizara hii kwa saabu kamtumbua waziri na kumpandisha mtendaji wake kampeleka TRA, bado nna kizunguzung hapa
1. Kuvutia wawekezaji
2. Kulinda na kuimarisha biashara
3. Kutafuta masoko
4. Kusimamia mapato na mkusanyo
5. Kujenga maxingira muafaka
6. Kuondoa urasimu na manyanyaso
Ili kufikia hayo yampasa kufanya haya
1. Ubunifu sio business as usual
2. Afanye mabadiliko makubwa pale wizarani
2. Asikae ofcn bali aende field kila siku
3. Asikilize wadau kama JPM alivofanya
4. Kila Wilaya atakayokanyaga akutane nao..
4. Awatumie sana TISS asiamini wabongo
5. Akae na maofisa kuaddress challenges.
5. Awe mkali kusimamia utekelezaji
6. Amshirikishe mkuu kama Lukuvi