Jibu la kipuuzi kabisa hili. "Hamfanyi kazi kwa mazoea, mbina mmembakisha hapo hapo, anafanya nini!
Unazinduka usingizini, unakuja kubwaka tu hapa hata hujui unachokisoma na kukijibu!
Haya ndio kutofanya kazi kwa 'mazoea' kwenu?
Wewe hakuna unalolijua , aisee, hata huo mfano uliotoa hauna mantiki kabisa.
Nimekujibu hivi kwa sababu hukuelewa nilichoandika wakati unan'quote'. Hata sijui ni kwa nini umeamua kuni'quote' kwa sababu hukuelewa kabisa niliandika nini.
Baada ya kunifyatukia, bado unayoandika hayaleti maana yoyote katika kueleza msingi ya mada.