Nini kifanyike mapenzi yaimarike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kifanyike mapenzi yaimarike

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Manchago, Feb 27, 2012.

 1. M

  Manchago Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku hizi ndoa nyingi hazidumu kama zamani je ni usasa tulionao ama kuna mambo tumeyasahau ndugu zangu naomba mchango wenu napenda nijipange?!
   
 2. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Jipange kwa raha zako.....
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  If you have no problem, basi endelea kufanya unavo fanya hadi sasa. Acha uoga
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  duh. . . . .
  Unauliza maswali ambayo una majibu yake?
   
 5. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,363
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  hakikisha hela haikauki hence mapenzi yataimarika.............
   
 6. M

  Manchago Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimewasoma wana jf.coz kil siku mwanadamu lzm ajifunze no body perfect
   
 7. T

  Tall JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  usifanye mambo mwenzio asiyoyapenda
   
 8. Mirhea

  Mirhea JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 317
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuwa single.
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  generalization ni mbaya sana
  ndoa moja isije ikakufanya uone kuwa ndoa hazidumu mkuu
  Ingia kwenye taasisi hii ukiwa na malengo yako na ukiwa na aim ya kuitunza ndoa yako na kuifanya idumu
  ukiingia na hizi notion kuwa ndoa hazidumu hata ya kwako haitadumu
  Oa ukijua kuwa ndoa yangu ndio itakuwa the best marriage ever exist na utaona matunda yake
   
Loading...