DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Wakuu
=====
Ajali zimekuwa nyingi Kila siku tunaamka na ajali tunakwama wapy?
Je, ajali za barabarani nchini Tanzania zinaendelea kutokea kwa sababu hatujui nini cha kufanya, au kwa sababu tunachukulia usalama barabarani kama jambo la kawaida?
Kwa nini madereva wanaorudia makosa hatari kama mwendokasi na ulevi barabarani wanaendelea kuruhusiwa kuendesha? Miundombinu yetu iko salama kweli kwa watumiaji wote – akiwemo mtembea kwa miguu na waendesha bodaboda? Je, elimu ya usalama barabarani inawafikia walio wengi, au tunazungumza zaidi kuliko kuchukua hatua? Na sisi kama raia, tunafanya sehemu yetu kutoa taarifa au kukemea pale tunapoona hatari? Kama kweli tunathamini maisha, ni wakati wa kila mmoja wetu kuwajibika.