Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,094
- 62,017
Fursa ya muda mfupi, na kwako yakiisha wote tutakutana kwenye kilio cha kusaga meno.Nawaza kununua mafuta mengi ya petrol na diesel niende niyafiche nisubiri magari yakipaki niuze lita elfu kumi ,nikipiga hizo hela nipande ndege nirudi Dar niwaite rafiki zangu wote bar tufurahie ujinga wa Trump na Bibi kwa kunipa mahela kirahisi
Hapa itabidi wataalamu wetu wazunguke maeneo ya baharini waangalie kama kuna uwezekano wowote wa kuchimba mafuta."Mafuta hata yakife buku 10 kwa Lita sisi kwetu furaha ilimradi Taifa teule linapiga kazi"
Alisikika Yahudi na Galatia wakijadiliana katika kijiwe Cha kahawa Katavi
Watatoa wapi mitambo ya kuwaruhusu /kuwezesha kuchimbaHapa itabidi wataalamu wetu wazunguke maeneo ya baharini waangalie kama kuna uwezekano wowote wa kuchimba mafuta.
Huko vyuoni walikuwa wanajifunza nini?Watatoa wapi mitambo ya kuwaruhusu /kuwezesha kuchimba
Samia must go ndilo jibu.Kama Iran hawatalegeza masharti ya upatikanaji wa mafuta, tunakoelekea siku 60 zijazo magari yetu tutayageuza kuwa mabanda ya mifugo tu.
Safari ya kutoka sehemu moja kwenda kwingine itakuwa changamoto.
Thamani ya pesa itashuka na vitu kupanda bei kutokana na uhaba wa upatikanaji wa bidhaa husika.
Sasa ni nini kifanyike ili kunusuru hii hali?
Nipo huku kijijini namlisha punda wangu ili aje anisitiri huko baadaye kwa usafiri.
Marekani na Israel wakubali kushindwa waachane na IranSasa ni nini kifanyike ili kunusuru hii hali?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kiberit tu hawawezi na barabara mpaka leo tunategemea wageni. Leo twende huko Baharini kuchimba mafuta, ajabu sana hii. Angalia kidude kidogo tu kama mwendokasi hatuwezi alafu leo tuwaze kuchimba mafuta,ajabu sana hiiHuko vyuoni walikuwa wanajifunza nini?
Ikifikia lita moja laki moja, hapo itakuwaje?Magari atuta ya pack Bali tutapunguza mizunguko isiyo kuw na umuhinu
Aiwezi fika laki mojaIkifikia lita moja laki moja, hapo itakuwaje?
Kama wataendelea kuzuia mafuta yasisafirishwe, tuna mbadala wowote?Aiwezi fika laki moja
mda huo ukifika tutapata mbadala, experience itakuwa imekuw kubwa.....Kama wataendelea kuzuia mafuta yasisafirishwe, tuna mbadala wowote?
Hivi mafuta ya Angola, Nigeria, chad, Libya etc yameenda wapi?????Kama Iran hawatalegeza masharti ya upatikanaji wa mafuta, tunakoelekea siku 60 zijazo magari yetu tutayageuza kuwa mabanda ya mifugo tu.
Safari ya kutoka sehemu moja kwenda kwingine itakuwa changamoto.
Thamani ya pesa itashuka na vitu kupanda bei kutokana na uhaba wa upatikanaji wa bidhaa husika.
Sasa ni nini kifanyike ili kunusuru hii hali?
Nipo huku kijijini namlisha punda wangu ili aje anisitiri huko baadaye kwa usafiri.