Nini kifanyike ili kunusuru hii hali?

Nini kifanyike ili kunusuru hii hali?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,156
Reaction score
55,651
Kama Iran hawatalegeza masharti ya upatikanaji wa mafuta, tunakoelekea siku 60 zijazo magari yetu tutayageuza kuwa mabanda ya mifugo tu.

Safari ya kutoka sehemu moja kwenda kwingine itakuwa changamoto.

Thamani ya pesa itashuka na vitu kupanda bei kutokana na uhaba wa upatikanaji wa bidhaa husika.

Sasa ni nini kifanyike ili kunusuru hii hali?

Nipo huku kijijini namlisha punda wangu ili aje anisitiri huko baadaye kwa usafiri.​
 
Nawaza kununua mafuta mengi ya petrol na diesel niende niyafiche nisubiri magari yakipaki niuze lita elfu kumi ,nikipiga hizo hela nipande ndege nirudi Dar niwaite rafiki zangu wote bar tufurahie ujinga wa Trump na Bibi kwa kunipa mahela kirahisi
Fursa ya muda mfupi, na kwako yakiisha wote tutakutana kwenye kilio cha kusaga meno.
 
"Mafuta hata yakife buku 10 kwa Lita sisi kwetu furaha ilimradi Taifa teule linapiga kazi"

Alisikika Yahudi na Galatia wakijadiliana katika kijiwe Cha kahawa Katavi
Hapa itabidi wataalamu wetu wazunguke maeneo ya baharini waangalie kama kuna uwezekano wowote wa kuchimba mafuta.
 
Kama Iran hawatalegeza masharti ya upatikanaji wa mafuta, tunakoelekea siku 60 zijazo magari yetu tutayageuza kuwa mabanda ya mifugo tu.

Safari ya kutoka sehemu moja kwenda kwingine itakuwa changamoto.

Thamani ya pesa itashuka na vitu kupanda bei kutokana na uhaba wa upatikanaji wa bidhaa husika.

Sasa ni nini kifanyike ili kunusuru hii hali?

Nipo huku kijijini namlisha punda wangu ili aje anisitiri huko baadaye kwa usafiri.​
Samia must go ndilo jibu.
 
Huko vyuoni walikuwa wanajifunza nini?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kiberit tu hawawezi na barabara mpaka leo tunategemea wageni. Leo twende huko Baharini kuchimba mafuta, ajabu sana hii. Angalia kidude kidogo tu kama mwendokasi hatuwezi alafu leo tuwaze kuchimba mafuta,ajabu sana hii
 
Kama Iran hawatalegeza masharti ya upatikanaji wa mafuta, tunakoelekea siku 60 zijazo magari yetu tutayageuza kuwa mabanda ya mifugo tu.

Safari ya kutoka sehemu moja kwenda kwingine itakuwa changamoto.

Thamani ya pesa itashuka na vitu kupanda bei kutokana na uhaba wa upatikanaji wa bidhaa husika.

Sasa ni nini kifanyike ili kunusuru hii hali?

Nipo huku kijijini namlisha punda wangu ili aje anisitiri huko baadaye kwa usafiri.​
Hivi mafuta ya Angola, Nigeria, chad, Libya etc yameenda wapi?????
 
Back
Top Bottom