Nini kifanyike ili kuiokoa CHADEMA?

Hizi propaganda za kitoto ziishie hukohuko.... Jengeni chama acheni maneno vijana
 
Trillion 1.5 aliyoiba nayo niufisadi wa Membe?.
 
Trillion 1.5 aliyoiba nayo niufisadi wa Membe?.
Hakuiba, ilinunua ndege! Hebu acha kujitaabisha kufananisha Kilimanjaro na kichuguu mende! Hivi uchoki? Unajua mpaka nakuonea huruma! Membe hauziki!
 
Wanaondoka makumi ya wapigiwa kura sisi tunavuna maelfu ya wapiga kura. CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala. Kwa nini polisi watake majina ya watia nia wa Chadema tu nchi nzima. CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
 
Hakuiba, ilinunua ndege! Hebu acha kujitaabisha kufananisha Kilimanjaro na kichuguu mende! Hivi uchoki? Unajua mpaka nakuonea huruma! Membe hauziki!
Alinunua ndege kwa idhini ya nani?. Au hii nchi nifamilia yeke ananunua vitu kadri anavyotaka nje ya bajeti iliyopiyishwa na bunge?. Je uwanja wa chato bajeti yake iko kwenye vitabu vipi vya bajeti ngoja twende nae site ,akawaeleze issue za ndege walalahoi wa gangilonga.
 
Maadamu hakuichukua kuipeleka Swiss account, badala yake imefanya kazi ya umma katiba yetu inamruhusu rais wetu kutawala kifalme, au hata hili hulijui!? Nikushauri whoever you are, acha wivu na chuki za kipuuzi, Kuna mengi Sana mema yangefanyika chini ya jemedari Magu kuliko mabaya kiduchu Sana ya kibinadamu! Jiunge na Nuru Toka huko gizani, hakuko sawa huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…