Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,001
- 1,688
ACT ni Chama kilichojipanga.angalau kinaweza pata hata wabunge kumi.kuliko nyinyi ufipa na chama chenu mtaambulia wabunge watatu tu.ACT ni kama CCM tu siasa zao ni za chuki
Wazo zuri sana hili ila sidhani kama zito atakubali. Zito kapiga hesabu kali sana. Zito hana shida ya ACT kushinda urais maana anajua ACT haina uwezo wa kushinda. Lengo la zito ni kupata wabunge ili ruzuku ya kuendeshea chama ipatikane. Kwa kifupi zito sio mpinzani ni mvuruga upinzani.ACT waungane na CDM mgombea awe lisu na mgombea mwenza awe Membe,waachiane majimbo pale chama kinapokubalika, Zanzibar na kusini waachiwe ACT bara yote waachiwe CDM.
Salaam Wakuu!!
Kuna maneno wengi yanaongelewa kwamba ACT ilianzishwa ili kuua upinzani ,na kwamba Membe ametumwa na CCM ili kugawanya kira za wapinzani kupitia ACT.
Inawekana kabisa tuhuma hizi zikawa na ukweli ndani yakr,lskini tunkumbuke ya kwamba CCM inatafuta mtu wa kumfia na kuna uwezekano mkubwa ikamfia Magufuli, Kikwete ilinusurika kidogo tu.
ACT ina balance power bara na visiwani yaani inajengeka kwa muonekano wa kitaifa zaidi ni hybrid ya CUF,CHADEMA na CCM. Sass kama CCM muliitengeza ACT ili kuidhofisha CHADEMA basi inaweza kuja kuimeza CCM baada ya hapo ACT na CHADEMA ndiyo watakuwa Democratic and Republican wa Tanzania.
CHADEMA chezeni hii game kwa akili,asimamishwe Membe kupitia ACT kisha achianeni ubunge na udiwani. Ili joka la Kishetani(CCM) tunaliua kidogo kidogo kwa kutumia akili nyingi. Vinginevyo hicho kinachodhsniwa kitatokea kweli,kura zitagawanywa na joka la kijani litaendelea kuwa.
Huu ni mwaka kitia pilipili kwenye kidonda cha Joka la Kijani cha 2015. CCM haiwezi kutawala milele idondoke,na itamfia Magufuli maana ana kibri na hashauriki anajiona ana akili nyingi kuliko CCM wote.
Umeshaambiwa msajili yuko mbioni kutoa adhabu kali kwa ACT..hatujui ataibuka na lipi.
Tatizo siku hizi ubabe na umwamba unabebwa kwenye mfuko wa rambo, hawajali wala kuona aibu. Usishangae likatoka tamko la kustaajabisha.
CDM kwa kilichowapata mwaka jana, maamuzi ya safari hii yanahitaji umakini wa hali ya juu sana. Bora wakose urais lakini walinde heshima ndogo ya chama iliyosalia, wasipoangali wanaweza kupoteza vyote.
CDM hawako katika hali mbaya. Ikumbukwe anayetakiwa kuhesabiwa mshindi au mshimdwa ni mwananchi.
Struggle hii inapaswa kuwa well above self and individuals benefits.
Uzi huu unawahusu sana CDM:
Siasa za Lowassa, Sumaye na Membe - upinzani
Muhimu kufikiria nje ya box.
ACT ni Chama kilichojipanga.angalau kinaweza pata hata wabunge kumi.kuliko nyinyi ufipa na chama chenu mtaambulia wabunge watatu tu.
Katiba ya nchi hairuhusu unachotaka. Pia Lissu ndio mtu wa kumuachia Membe kwenye hii Scenario pia, Lissu anaweza asirejee TanzaniaHili joka lisipokufa mwaka huu halifi tena.
Muhimu Lisu na Membe waingie kazini kwanza wanauzika na kukubalika kimataifa.ACT waungane na CDM Lisu agombee uraisi na Membe umakamu,waachiane majimbo mfano kusini na Zanzibar waachiwe ACT na Bara Kote CDM hii ndo njia pekee ya kuuondosha udhalimu na propaganda za maendeleo.
mbeleko za vyama vingine hakuna mwaka huu.kila timu ishinde mechi zake.Mambo yatakuwa mazuri CDM sio chama cha kufa kirahisi, ni chama chenye wapenzi wengi kuliko CCM na kimeenea sana mashinani. Kwa vyovyote kama ccm hawatamzuia Lissu, basi tegemea mtananga wa kufurahisha na kama ACT na vyama vingine vikiungana basi ccm hawana lao.
Hata asiporejea atapigiwa kura huko huko au akiwa jelaKatiba ya nchi hairuhusu unachotaka. Pia Lissu ndio mtu wa kumuachia Membe kwenye hii Scenario pia, Lissu anaweza asirejee Tanzania