Nini kifanyike ili demu awe furahani ?

Nini kifanyike ili demu awe furahani ?

...mdanganye uwongo unaofanania na ukweli!
are you serious or you are kidding?

...george_porjie, kama huamini, mwambie tu ukweli mamspapu kuwa yeye si mzuri kama Carol, au kanenepa utadhani sumo, au hajitumi kama Anna, au nguo hazimpendezi kama Rose... uone vurumai lake!

Soma 3 Kids alivyokunwa na Comments za Belinda...

Mwonyeshe yuko peke yake moyoni mwako au kimapenzi hata kama unamdanganya.

Ujue jinsi ya kumridhisha kimapenzi haswaaa

Appreciate vitu vizuri anavyofanya,kama kapendeza kimavazi msifie nk.

Uwe msikivu anapokuambia kitu yani uonyeshe kujali hata kama unamwona anapenda kulalamika.

NB: Sidhani kama kuna kanuni moja kwa wanawake wote,utakayekutana nae kimapenzi na kumjua vizuri ni rahisi kujua umfanyie nini afurahi.
Jamani Belinda umenikuna sana na maelezo yako ni kweli kabisa hakuna mwanamke asiependa kufanyiwa hayo mie mwenyewe mmoja wao Aluuuuuu hapo sawa kabisaaa!!!!!!!!!!
 
Wakuu,
To me si lazima umfurahishe mpenzi/mke/demu all the time. If that is the case life isingekuwa interesting the way it is.
My stand is whatever comes you deal with it kama ni kugombana gombana kweli kweli then you become ready to accept any conclusion. In fact this thing ya kufurahisha lazima iwe both ways.... so to me it does not matter, whatever comes in i will deal with it lakini PRETENDING siwezi.

I like to live the real life. Wako wanawake wanaopenda reality and mnaishi tu vizuri. Othewise mambo ya sweet talk ndo hayo yanaleta a lot of probles in the future. I think being realistic and original to each other counts a lot. Labda kama unataka tu ku hit and run ndo utaanza ngonjera nyingi.



hapo ndio nilipo! niambie ukweli tu then tuweke mambo sawa maisha yasonge, mie mr akiniambiaga uongo anajua nawakaga kuliko ukweli wenyewe, halafu mta pretend mpaka lini sasa? labda iwe mnaishia kwenye u gal/boy frnd tu, ndo mtadanganyana weeee mpaka basi.
 
hapo ndio nilipo! niambie ukweli tu then tuweke mambo sawa maisha yasonge, mie mr akiniambiaga uongo anajua nawakaga kuliko ukweli wenyewe, halafu mta pretend mpaka lini sasa? labda iwe mnaishia kwenye u gal/boy frnd tu, ndo mtadanganyana weeee mpaka basi.

...sawa nyamayao, lakini kwa experience yangu ukweli ukichanganywa na uongo kidogo ndio mambo yanakuwa,... ukweli 100% nao mnh... wanawake wengi ninaowajua ukiwaambia ukweli unawauma!
 
Jamani nwauliza hivi ni jambo gani ambalo tunatakiwa tufanye ili ,iwe demu mke au part time girlfriend awe ni mwenye kufurahi wakati wote ?

Tafuta songs za Barry white ( hasa let me live my life loving you) mwimbie au mwambie maneno yaliyoko kwenye hizo lyrics...atachanganyikiwa na kukupenda milele!
 
mwanamke ni hella bwana. hiyo ndio furaha yake. najua watasema hela si msingi wa mapenzi. it's the question of subconscious mind. inabidi watu wakubali tu
 
unapokuwa kifuani, mtukane hawara yako wa zamani!
Usije ukajalibu ,imeshanitokea nikawa namponda mwenziwe tu ,basi akaniuliza hey inaonyesha bado unamkumbuka ,hakunisemesha siku nzima 😡
 
Its a CAPITAL mistake under the sun kutaka kumridhisha mwanamke. Whatever distance yu can go she can go +1 and what millions of money you can make she can spend +1, so this i8s the most stupid situation to be in.
 
...Awe na furaha wakati wote ye nani?? Bill Gate mwenyewe hana furaha wakati wote!!!!Mambo ya kufikirika tu hayo....

duh ladies don get me wrong but mhm huyu jamaa amenifurahisha na jibu lake..

actually why r we discussin abt jinsia moja tu?it shows how wao ndo huwaga na matatizo if not kutoeleweka mara nyingi.

topic kama hizi ziko sehemu nyingi n huwaga hivi hivi kwanini zisiwe how to make mpenzio happy?badala yake huwa ni how to make ya lady happy?
 
Mkuu piga katerero tu demu atafrahi sana

Katetero ndio nini ? Maana wengine ulevi ni haramu kunywa au kuubeba.Kama ni dawa za kienyeji sawa ,kuna limbwata hiyo nasikia mwisho ,sijui faida yake maana sijapata mtu akaieleza ni madudu gani.
 
usimwambile kila kitu kwa uwazi, sometimes danganya, umsikilize, ukweli uwepo,
jitahid asijue vionjo vyako vya ndani,
 
demu mke parttime girlfriend ?????????????!!!!!!!!!!!!!!! kwani wewe unamlenga nani ?? mke demu ?? au girlfriend !!! by the way wewe una demu ?? mke?? au girlfriend ?? sijakusoma bado!! kama ni mke jitahidi kutunza familia watoto wafurahi misapraise kwa wingi atakukubali lakini demu Mhhhh!!??girlfriend tuwaachie wanaoanza mapenzi ushanisoma kaka ??!!
 
demu mke parttime girlfriend ?????????????!!!!!!!!!!!!!!! kwani wewe unamlenga nani ?? mke demu ?? au girlfriend !!! by the way wewe una demu ?? mke?? au girlfriend ?? sijakusoma bado!! kama ni mke jitahidi kutunza familia watoto wafurahi misapraise kwa wingi atakukubali lakini demu Mhhhh!!??girlfriend tuwaachie wanaoanza mapenzi ushanisoma kaka ??!!

Maisha ya siku hizi wote unaweza kuwakusanya ,si unasikia nyumba ndogo ,kubwa,yule wa pembeni .

Unaweza ukawa na ng'ombe ,mbuzi ,kuku na huku unapita sokoni kununua nyama ya kupima kwa kilo . Na siku ukitamani samaki unapitia feri kupata nyama ya samaki unakula pande zote 😀
 
Wakubwa kuna tofauti na namna ya kuuliza swali nina maana swali linatakiwa lilenge demu yupi.Kumfurahisha demu wa Kiafrican American Almost impossoble/Haiwezekani yaani wewe hata uje na mbinu gani yaani ukuonyesha mapenzi wewe atakuchukulia advantage ya nguvu usipoangalia utakwenda kazini masaa kumi ukirudi nyumbani utaosha vyombo,utasafisha nyumba,utampikia,utakogesha watoto kwa hiyo wandugu usijaribu kutaka hayo kwa african American girls atakufanya mfanyakazi wake.Kwa ushauri zaidi mwenye nia ya kuweka ndani mmarekani mweusi They are all the same sorry.

SAHIBA.
 
Mwanamke wa katanzania ana afadhali ya 50% na zaidi hadi 80% ya African American,pls they are no comparison between these two girls whatsoever.Katika mapenzi tofauti hiyo ni kubwa sana,hongera dada zetu wa kitanzania mnaturahisishia sana kazi ingawa sio wote.Tatizo kubwa tunaface kwa wale dada zetu wanaotaka kuiga tabia za mwanamke mwafrika wa kimarekani.hawa hasara yao wanapotea na hawajui wafanyalo,mapepe wa nguvu.

Sahiba.
 
Jamani nwauliza hivi ni jambo gani ambalo tunatakiwa tufanye ili ,iwe demu mke au part time girlfriend awe ni mwenye kufurahi wakati wote ?

Mpige kafara au kwa vijana wa mjini wanasema ingia katika masantina pia usisahau kushuhulikia sehemu inayoitwa (MTATAGA KUPA )ifanyie kazi basi hapo tena itakuwa mshike mshike kama vile pweza Mbichi aliyetiwa limau atakuwa Hali ,havai na wala hendi kwa wenzake ni wewe tu atakuwa kama vile mtu mwenye kibuki kazi pevu hiyo wazee wanatwambia asiyekuwa na mwana alike jiwe . lakini basi nakuomba ukishafanya dawa hiyo rudi hapa jukwaani utupe matokeo.
 
Last edited:
Mwanamke wa katanzania ana afadhali ya 50% na zaidi hadi 80% ya African American,pls they are no comparison between these two girls whatsoever.Katika mapenzi tofauti hiyo ni kubwa sana,hongera dada zetu wa kitanzania mnaturahisishia sana kazi ingawa sio wote.Tatizo kubwa tunaface kwa wale dada zetu wanaotaka kuiga tabia za mwanamke mwafrika wa kimarekani.hawa hasara yao wanapotea na hawajui wafanyalo,mapepe wa nguvu.

Sahiba.

Asifuye mvuwa imenyeshea jee vipi yalikukuta .unapo lizungumzia wanawake wa TANZANIA pia ubahatike tu tunayashuhudia mengi lakini kwa leo funika kombe mwanaharamu apite ina yumkini kuna mengi huyaoni kwani wanawake wa TANZANIA wa leo sio wa juzi ukiyaona au kusimuliwa yanayotendeka basi ungesema bora ya musa kulikoya firauni hapo namainisha bora hao wamarekani weusi unaowao wewe kuwa ndio wabaya kitabia kuliko mwamke anaiga kwa nguvu zake zote ili mradi tu nae awe kama mamrekani kuna siri kubwa kaka ndani ni vyema uwe huzijuwi
 
Nadhani mwambie ukweli tu ila sina la kuchangia zaidi nadhani kama demu unampenda unaweza kumwambia kila kitu kuhusu wewe au inakuwaje!!
 
Back
Top Bottom