Nini kazi ya RAM, HDD & processor

Nini kazi ya RAM, HDD & processor

thanks Chief-Mkwawa ,, kuna program kwenye computer sijawahi kuzifanyia kazi huwa nazipita tu: DISK CLEANUP na DISK DEFRAGMENTATION(sijakalili vizuri majina)... je hizi zinauhusiano wowote na Hard Disk na kazi yake ni nini hasa?
 
Last edited by a moderator:
thanks Chief-Mkwawa ,, kuna program kwenye computer sijawahi kuzifanyia kazi huwa nazipita tu: DISK CLEANUP na DISK DEFRAGMENTATION(sijakalili vizuri majina)... je hizi zinauhusiano wowote na Hard Disk na kazi yake ni nini hasa?

ni 3rd party app umeingiza au zimekuja na windows? kama zimekuja na windows ni tools tu za kucompress mafile yasiyotumika na kutoa takataka kwenye disk yako, mara nyingi hutumika na windows pale disk inapokaribia kujaa.
 
Last edited by a moderator:
Uzi mzuri huu kwa kujifunza, asante mleta uzi pamoja na contribution ya chief-mkwawa na watu 8
 
Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili.

Mi si mtaalam wa IT japo nina idea kidogo.

Naomba kufahamishwa kazi za hivyo vitu kwenye computer...
Kwa mfano kwa processor zipo za aina ngapi au zipi ni nzuri zaidi au zina uwezo mkubwa?

Hivyo hivyo na RAM na Hard Disk...
Niyaaje chifu bhna m naona tushee adia hapa koz sote si wna it but tu ni upenzi na na utundu naomba nba yako
Namba yangu n 0764932021
 
ndio mkuu... maana hapa PC ilikuwa inalose kumbukumbu za saa na tarehe kila siku... nimeweka battery mpya naona iko poa....

sasa najiuliza ni nini kilifanya battery ife mapema? hii PC ninayo karibu miaka mi5 sasa au ndio kawaida kwa huo mda kuharibika?
Chief asante tumeelewa wengi leo naomba namba yako aisee yangu n0764932021
 
Back
Top Bottom