Nini kazi ya Adobe reader ?

Nini kazi ya Adobe reader ?

Kazi kubwa ya Adobe Reader ni
1. Kusomea electronic books (e-books) ambazo ziko kwenye mfumo wa .pdf

2. Kubadili .pdf kuwa .doc .docx (feature hii inatumika kwa mtu mwenye account ya adobe).
 
adobe reader kazi yake ni kusoma
documents za pdf(Portable Document format) Zipo acrobat za version nying. Kuna za zamani zenyewe ni kusoma tu, na prof ambazo zinaweza kukusaidia kuchange file kutoka docs etc.
Acroread.png
 
KAZI YA ADOBE READER NI KUZIFANYA DOCUMENTS ZENYE FORMATS MBALIMBALI ZIWEZE KUSOMEKA KUPITIA MASHINE YAKO IWE SIMU, TABLET AU PC. ILA FORMAT YA DOCUMENT YA .PDF ([FONT=arial, sans-serif]Portable Document Format[/FONT]) NDIO MAARUFU ZAIDI KWENYE ADOBE READER MBALI NA IYO, NYINGINEZO ZINAZOWEZA KUFUNGULIWA AU KUZOMEKA KUPITIA ADOBE LEADER NI KAMA VILE FORMATS ZA .doc, .docx, .xls, .xlsx, .ppt, .pptx, .txt, .rtf , NK.
KUNA PROGRAMU NYINGINE ZINAZOWEZA KUFANYA KAZI SAWA AU KAMA ADOBE LEADER AMBAZO NI
Wondershare PDF Editor, Forxit Reader 7, Sumatra PDF na Evince, zipo nyingi ila hizo na baadhi tu.[h=1][/h]
 
Swali zuri sana Kilangi masanja, pamoja na majibu mazuri ya wadau hapo juu.
Naomba kwanza nianze kwa kueleza kwa nini tutumie Adobe.

Kila aina ya file ina jinsi tofauti ya kuwa na ukubwa wa file husika, kwa mfano kitabu chenye kurasa 200 kikiwa kwenye mfumo wa word, kitakua na ukubwa zaidi na mara nyingine huenda ikawa vigumu kuwatumia wengine au litahitaji nafasi zaidi ili kulihifadhi,

hapo ndio umuhimu wa Adobe ulipokuja, mafail mengi yamebadilishwa kutoka kwenye asili ya program zao za mwanzo ili kuyafanya yawe na kiasi (size) ndogo hivyo kufanya yasichukue nafasi kubwa sana.

Ndio maana utakuta kitabu cha kurasa 1000 au hata 1500 kinakua na size ndogo kama kitakua kwenye mfumo wa PDF (Portable Document Format).
 
Back
Top Bottom