Hapa ndo penye shida, eventually mbegu za asili zitatoweka na kutufanya kuwa tegemezi kwa hizo mbegu zao. Hawakawii kukwambia ukubali ushoga ili upewe mbegu kwa ajili ya wakulima wako....Hebu nisaidie haya: GMO seeds zinataka every season ununue mbegu mpya na siyo uvune mazao na utumie tena kama mbegu. Kwa kuwa mimi huwa ninalima, kwa kutumia hybrid seeds, mfano maize ekari moja ni kama 8kgs @ kg 4000 to 5000. Hivyo wakulima zaidi ya 80 percent wanatumia local breed. Ningependa kujua namna watakavyoweza ku afford GMO seeds.
Sent using Jamii Forums mobile app
huo ni imasikini kwa viwango vya mabwana zako wazungu,bibi yangu shamba ana koroboi na anakula na afya nzuri kuliko homeless wako huko marekani han hata pa kulimaHizi ardhi ambazo Magufuli anazirudisha saivi? Wewe ni taahira sababu hujui kama kuwa na ardhi bila kuitumia kupata kipato ni sawa na huna chochote?
Umaskini ninaoungolea ni kukosa clean and safe water, decent shelter, great health services, reliable food, clothing and good accessories for lighting and cooking which most of people living under the poverty line in Tanzania can't afford so would you compare the situation with American poor people? Unawaza kutokea sewage Chamber

Nimesoma, nikashawishika bila shaka kabisa kuwa ww ni wa upande uleeeLengo lake ni katika kuendeleza hiki kinachoitwa 'New World Order'. Yeye amejikita kueneza mbegu zinazoitwa genetically modified organism (GMO) . Hizi mbegu zina madhara makubwa ili kujua zaidi pitia mtandaoni utaona.
Watengenezaji wakubwa wa hizi mbegu ni kampuni ya Monsanto ya Marekani. Kwa kueneza mbegu hizi Afrika, wakulima wote watakuwa watumwa wa monsanto maana mbegu za GMO zaidi ya kuwa na athari za kiafya, pia huharibu udongo.
Bill Gates ni tishio kwa Afrika ila Waafrika wengi hawajielewi.
Asante mkuu nitafatilia zaidi kwani mtililiko wako waweza kuwa ukweliKUWEKA KUMBUKUMBU ZAKO SAHIHI: Huyo ulie mtaja kama Anorld Schwazneger si yeye! Najua unamzungumzia mzungu mmiliki wa Hotel Lupita iliyoko KM 64 kutoka mjini Namanyere, ni anamuonekano kama wa Schwazneger ila si yeye! Alipachikwa jina na wanakijiji tu! Btw Hotel Lupita ni one of the most expensive in the Southen Highland..ilikua $800 per night!
Before hakuwepo instagram.???Sawa Nishakuelewa Mkuu Ila Naomba Tuwe Na Imani Tu Mana Taifa Letu Ni Taifa Salama..
Ila Huyu Billgate Kajifanya Kuleta Fix Za Kujiunga Insta Akiwa Tanzania Mmmmmmmh
Before hakuwepo instagram.???
Bas mkuu ngoja tusubiri tutaona mengiKwa Madai Yao Wanasema Hivyo Lakini Mmmmmmmmmh
GMO zina uzuri na ubaya wake, inategemea ana support GMO zipi.This is how they want u to think bill gates is just a decoy hizo chanjo na mbegu zinazotengenezwa kwa mfumo wa GMO ndo zina balaa huko ndani
Fact in factHamna kitu kibaya kama Umasikini. Masikini ana mawazo negatively kwa kila kitu Hoo Mara ukila mayai ya kizungu unakuwa shoga Mara ukinywa maziwa ya ng'ombe wa kizungu unakuwa ivi Mara vile ni uwezo mdogo wetu sisi masikini katika kung'amua vitu vya duniani apa. Leo hii maziwa ya ng'ombe wa kisasa ndio mkombozi na mayai ya kuku wa kisasa ndio mkombozi tuache mawazo ya kimasikini. Leo hii kuja kwa simu kuna kipindi watu walikuwa wanasema inaleta kansa lakini mwisho wa siku tunatumia. Kila kitu kina faida na hasara apa duniani, cha Msingi kuwekeza katika utafiti na kupunguza mawazo mgando.
Nchi yenye matatizomengi ni kivutio cha matajiri wanaotaka kutengeneza jina kwamba wamesaidia watu masikini sana.Wote twafahamu kuwa huyu mkuu ni moja ya watu wakalimu zaidi duniani (philanthropist) na kutolea huko kwa wenzetu kunawajengea heshima kubwa kwenye jamii .
Lakini huyu naona kama recently amezidisha haipiti miezi miwili tunamuona arusha ,natamani kumuhusisha na madini lakini BIG NO ,hafanyi shughuli hizo,mtu tajiri wa pili duniani atembelee nchi masikini mara kwa mara wakati nature ya biashara yake hufana penye nchi zenye maendeleo zaidi.
Sambamba na hilo kumekuwa na wimbi la watu mashuhuri kuitembelea sana Tanzania mfano bill clinton na mkewe huwa wanakuja kimya kimya mara nyingi ,Pia kule sumbawanga Anord schwazneger anakisiwa haipiti miezi mitatu hajaja.
Jamani kunani ?
Sasa mkimuona si mumpige mawe? Au mabodaboda wamzingire wamvalishe tairi wampige kiberitiLengo lake ni katika kuendeleza hiki kinachoitwa 'New World Order'. Yeye amejikita kueneza mbegu zinazoitwa genetically modified organism (GMO) . Hizi mbegu zina madhara makubwa ili kujua zaidi pitia mtandaoni utaona.
Watengenezaji wakubwa wa hizi mbegu ni kampuni ya Monsanto ya Marekani. Kwa kueneza mbegu hizi Afrika, wakulima wote watakuwa watumwa wa monsanto maana mbegu za GMO zaidi ya kuwa na athari za kiafya, pia huharibu udongo.
Bill Gates ni tishio kwa Afrika ila Waafrika wengi hawajielewi.
Unataka watoto wa watu wafie jela?Sasa mkimuona si mumpige mawe? Au mabodaboda wamzingire wamvalishe tairi wampige kiberiti
Inawezekana ni kweli ana interests kwakuwa wenzetu what you see is not what you get/ what you think they are doing is not what is really happening.Wote twafahamu kuwa huyu mkuu ni moja ya watu wakalimu zaidi duniani (philanthropist) na kutolea huko kwa wenzetu kunawajengea heshima kubwa kwenye jamii .