Wote twafahamu kuwa huyu mkuu ni moja ya watu wakalimu zaidi duniani (philanthropist) na kutolea huko kwa wenzetu kunawajengea heshima kubwa kwenye jamii .
Lakini huyu naona kama recently amezidisha haipiti miezi miwili tunamuona arusha ,natamani kumuhusisha na madini lakini BIG NO ,hafanyi shughuli hizo,mtu tajiri wa pili duniani atembelee nchi masikini mara kwa mara wakati nature ya biashara yake hufana penye nchi zenye maendeleo zaidi.
Sambamba na hilo kumekuwa na wimbi la watu mashuhuri kuitembelea sana Tanzania mfano bill clinton na mkewe huwa wanakuja kimya kimya mara nyingi ,Pia kule sumbawanga Anord schwazneger anakisiwa haipiti miezi mitatu hajaja.
Jamani kunani ?
Ongezea na George Bush, na wengi tu maaarufu ,unaweza wakuuta huko mbuguni kimya kimya.
Sababu Ni Amani na utulivu , hali ya hewa na vivutio vya asili vya kipekee.
Sema hii Kibiti , Rufiji inaweza ikaharibu kabisa. Tumnamuomba kamanda Siro aka zeeka mkono.