Nini interest halisi ya Bill gates nchini Tanzania ?

Nini interest halisi ya Bill gates nchini Tanzania ?

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,132
Reaction score
14,639
Wote twafahamu kuwa huyu mkuu ni moja ya watu wakalimu zaidi duniani (philanthropist) na kutolea huko kwa wenzetu kunawajengea heshima kubwa kwenye jamii .

Lakini huyu naona kama recently amezidisha haipiti miezi miwili tunamuona arusha ,natamani kumuhusisha na madini lakini BIG NO ,hafanyi shughuli hizo,mtu tajiri wa pili duniani atembelee nchi masikini mara kwa mara wakati nature ya biashara yake hufana penye nchi zenye maendeleo zaidi.

Sambamba na hilo kumekuwa na wimbi la watu mashuhuri kuitembelea sana Tanzania mfano bill clinton na mkewe huwa wanakuja kimya kimya mara nyingi ,Pia kule sumbawanga Anord schwazneger anakisiwa haipiti miezi mitatu hajaja.

Jamani kunani ?
 
Lengo lake ni katika kuendeleza hiki kinachoitwa 'New World Order'. Yeye amejikita kueneza mbegu zinazoitwa genetically modified organism (GMO) . Hizi mbegu zina madhara makubwa ili kujua zaidi pitia mtandaoni utaona.

Watengenezaji wakubwa wa hizi mbegu ni kampuni ya Monsanto ya Marekani. Kwa kueneza mbegu hizi Afrika, wakulima wote watakuwa watumwa wa monsanto maana mbegu za GMO zaidi ya kuwa na athari za kiafya, pia huharibu udongo.

Bill Gates ni tishio kwa Afrika ila Waafrika wengi hawajielewi.
 
Si Tulikuwa Tunasema Watalii Watapotea Na Wataacha Kabisa Kuja Tanzania Sasa Imekuwaje Tena Watalii Wanakuja Lakini Bado Hatutaki Waje????

Kwa Nini Watalii Wakija TanzanIa Tunakosa Sababu Ya Wao Kuja Ila Wasipokuja Tunazijua Sababu Za Wao Kutokuja???
 
mbona anatembelea nchi nyingi tu, kuja mara mbili tanzania imekuwa nongwa
huwa haipiti miezi minne sisi wakazi wa arusha bila kumuona kwenye mahotel
 
Attachments

  • bil 1.jpg
    bil 1.jpg
    10.3 KB · Views: 79
  • bill 2.jpg
    bill 2.jpg
    46.3 KB · Views: 88
Si Tulikuwa Tunasema Watalii Watapotea Na Wataacha Kabisa Kuja Tanzania Sasa Imekuwaje Tena Watalii Wanakuja Lakini Bado Hatutaki Waje????

Kwa Nini Watalii Wakija TanzanIa Tunakosa Sababu Ya Wao Kuja Ila Wasipokuja Tunazijua Sababu Za Wao Kutokuja???
Mkuu sikatai ujio wake ila naibua tu mjadala wa tahadhari hata ukoloni ulianza kuja kwa gia ya kusambaza dini,utafiti,...
 
Wote twafahamu kuwa huyu mkuu ni moja ya watu wakalimu zaidi duniani (philanthropist) na kutolea huko kwa wenzetu kunawajengea heshima kubwa kwenye jamii .

Lakini huyu naona kama recently amezidisha haipiti miezi miwili tunamuona arusha ,natamani kumuhusisha na madini lakini BIG NO ,hafanyi shughuli hizo,mtu tajiri wa pili duniani atembelee nchi masikini mara kwa mara wakati nature ya biashara yake hufana penye nchi zenye maendeleo zaidi.

Sambamba na hilo kumekuwa na wimbi la watu mashuhuri kuitembelea sana Tanzania mfano bill clinton na mkewe huwa wanakuja kimya kimya mara nyingi ,Pia kule sumbawanga Anord schwazneger anakisiwa haipiti miezi mitatu hajaja.

Jamani kunani ?

You always have to look for something negative.....
 
Huyu jamaa muda mwingi anatembelea miradi ya taasisi yake dunia nzima.
Hakuna interest zaid ya afya mbovu na umasikini wetu.
Unadhani hayo matrillion atayapeleka wapi?
 
Hamna kitu kibaya kama Umasikini. Masikini ana mawazo negatively kwa kila kitu Hoo Mara ukila mayai ya kizungu unakuwa shoga Mara ukinywa maziwa ya ng'ombe wa kizungu unakuwa ivi Mara vile ni uwezo mdogo wetu sisi masikini katika kung'amua vitu vya duniani apa. Leo hii maziwa ya ng'ombe wa kisasa ndio mkombozi na mayai ya kuku wa kisasa ndio mkombozi tuache mawazo ya kimasikini. Leo hii kuja kwa simu kuna kipindi watu walikuwa wanasema inaleta kansa lakini mwisho wa siku tunatumia. Kila kitu kina faida na hasara apa duniani, cha Msingi kuwekeza katika utafiti na kupunguza mawazo mgando.
 
Huyu jamaa kwa utajiri alionao ukilinganisha na umri wake ni vitu inversely so anachokifanya ni kuangalia sehemu yenye utawala bora na kupeleka kiasi cha hela zake ili zilete mabadiliko chanya na siyo vingine.
Mkiendelea kumfikiria negative mtakuwa mnamkosea sana kwani hata kama ni kuharibiwa ubongo kupitia GMO mbona hata kwenye chanjo wangetupata tu kirahisi?
 
Back
Top Bottom