LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,700
no free lunch!for free
no free lunch!for free
BilliGatesno free lunch!
hiyo inaitwa the hierarchy of needs ni theory iliyowekwa na mtu wa kawaida kama wewe ila ikakubalika na wasomi wengi haipaswi kutumika kubaka ubongo wetu,hizo stage kuna mtu anazaliwa akikua anaamua kuwa padri kwake hapitii baadhi ,hata kam anataka kusaidia kwa nn msisitizo wake upo sana tanzania wakati kwao ameacha masikini kuliko hawa ,tizama picha hiziBilliGates
Amekuja inawezekana tu kwakuwa pesa yake ndio inayomfanya aje.
Mtu akiwa na pesa hitaji lake la kwanza ni uhakika wa kupata chakula.
Pesa ikiongezeka linakuja hotaji la pili ambalo ni kujilinda na mazingira yake, hapo anatafuta pa kulala penye usalama,
nguo nzuri, nk.
Pesa ikiongezeka binadamu anaanza kufikia hatua ya hitaji la tatu la zoezi la kuanza kuweka akiba ili arahisishe maisha yake kama kujenga nyumba au kununua gari hapo baadae nk.
Pesa ikiongezeka binadamu anaingia hatua ya nne ya kutaka kujulikana na watu kuwa anazo, hapo wale wapenzi wa Ngwasuma utamwona mtu anajiita Papa Nyamihela kazi yake ni kumwaga pesa jukwaani na na kupenda kusifiwa.
Kwa watu wa dini mtu ananza kutoa sadaka kubwakubwa na kugharimia safari za mchungaji au Shehe ktk kuimarisha dini yake. Watu wengi wanaanza kuwekeza katika miradi ya biashara wakifika katika hatua hii.
Pesa ikiongezeka sasa mtu anaingia katika hatua ya tano ya kuzigawa pesa zake kwa jamii yote anayoona inafaa.
Huyu mtu sasa anaifikia hatua ya kutaka kutambuliwa kimataifa na analindwa na serikari.
Analindwa na kufuatiliwa na serikari kwasababu asije akarubuniwa na waharifu na akaamua kuwafadhiri na kusababisha usimbufu mkubwa.
Anaweza akaunda jeshi la uasi na akaipindua serikari hivyo kila nchi anayoenda anakuwa anafuatiliwa na kulindwa ma nchi husika.
Hitaji hili la tano ni la mwisho kwa mwanadamu, hapa kazi yake ni kuunda taasisi za kutoa misaada kwa jamii.
Bill and Merinda Gates na Roockfera foundations, ni moja ya taasisi za matajiri zinazojihusisha kusadia jamii duniani.
BillGates amekuja kutimiza hitaji hili la tano la mtu mwenye pesa nyingi sana.
Umenifurahisha sana Mkuu, ivi hapa kuna dhambi gani kuja kusaidia maskini wa Tanzania haswa ?hiyo inaitwa the hierarchy of needs ni theory iliyowekwa na mtu wa kawaida kama wewe ila ikakubalika na wasomi wengi haipaswi kutumika kubaka ubongo wetu,hizo stage kuna mtu anazaliwa akikua anaamua kuwa padri kwake hapitii baadhi ,hata kam anataka kusaidia kwa nn msisitizo wake upo sana tanzania wakati kwao ameacha masikini kuliko hawa ,tizama picha hizi
Nadhani ayapeleke kwa wamarekani wenzake kama huyuHuyu jamaa muda mwingi anatembelea miradi ya taasisi yake dunia nzima.
Hakuna interest zaid ya afya mbovu na umasikini wetu.
Unadhani hayo matrillion atayapeleka wapi?
Kusaidia watu ni jambo jema ila historia inaonesha hakujawahi patikana msaada wa bure duniani ila huwa baadhi inachelewa kujua malipo yake ,am just a royal citizen smelling smthng fishyyUmenifurahisha sana Mkuu, ivi hapa kuna dhambi gani kuja kusaidia maskini wa Tanzania haswa ?
Huko kwao kesha saidia sana na anahitaji kuvuka mipaka kwenda kusaidia anako ona kunampendeza.
Ivi mtu akienda kuoa mke ktk kabila la mbali anamaanisha hakuna wachumba wazuri katika kabila lake ?
Mambo ya usaidizi yanaongozwa na mapenzi ya mtu na yanaweza kudondokea popote bila kuhitajika sababu za msingi.
Jambo lingine ni uhakika wa pesa yake kutumika vizuri ili kufikia kusudia la tajiri.
Hii kemeakemea ya Rushwa na ufisadi katika awamu hii ya tano inawezekana kabisa imemshawishi huyu tajiri kuja na kutoa misaada hapa nchini kwetu.
Jambo jingine hii nchi imetulia na haina vurugu za mapigano ya machafuko ktk jamii na kuna vivutio vya utalii. Hivyo anaona ni salama kutembea na kutalii pia.
Jambo jingine huenda ni siri yake ndo maana alianza kufika katika mkoa wa Tanga.
Wenyewe wanauita mkoa wao kwa huo herufi moja tu "ta"
Nadhani atarudi tena "ta"
kuhoji ni kosa ?
Tuelimishe zaidi chief....Lengo lake ni katika kuendeleza hiki kinachoitwa 'New World Order'. Yeye amejikita kueneza mbegu zinazoitwa genetically modified organism (GMO) . Hizi mbegu zina madhara makubwa ili kujua zaidi pitia mtandaoni utaona.
Watengenezaji wakubwa wa hizi mbegu ni kampuni ya Monsanto ya Marekani. Kwa kueneza mbegu hizi Afrika, wakulima wote watakuwa watumwa wa monsanto maana mbegu za GMO zaidi ya kuwa na athari za kiafya, pia huharibu udongo.
Bill Gates ni tishio kwa Afrika ila Waafrika wengi hawajielewi.
Labda wameona chanjo haziwatoshiHuyu jamaa kwa utajiri alionao ukilinganisha na umri wake ni vitu inversely so anachokifanya ni kuangalia sehemu yenye utawala bora na kupeleka kiasi cha hela zake ili zilete mabadiliko chanya na siyo vingine.
Mkiendelea kumfikiria negative mtakuwa mnamkosea sana kwani hata kama ni kuharibiwa ubongo kupitia GMO mbona hata kwenye chanjo wangetupata tu kirahisi?
Wewe kilaza kweli unakili kila kitu kina madhara ila unamuita anaetilia mashaka mayai ya kizungu, una akili kweli wewe.Hamna kitu kibaya kama Umasikini. Masikini ana mawazo negatively kwa kila kitu Hoo Mara ukila mayai ya kizungu unakuwa shoga Mara ukinywa maziwa ya ng'ombe wa kizungu unakuwa ivi Mara vile ni uwezo mdogo wetu sisi masikini katika kung'amua vitu vya duniani apa. Leo hii maziwa ya ng'ombe wa kisasa ndio mkombozi na mayai ya kuku wa kisasa ndio mkombozi tuache mawazo ya kimasikini. Leo hii kuja kwa simu kuna kipindi watu walikuwa wanasema inaleta kansa lakini mwisho wa siku tunatumia. Kila kitu kina faida na hasara apa duniani, cha Msingi kuwekeza katika utafiti na kupunguza mawazo mgando.
Huko ndiko kaanzia.Nadhani ayapeleke kwa wamarekani wenzake kama huyu
Tuelimishe zaidi chief....
Tuelimishe zaidi chief....