Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kweli kitabu chetu cha waarab kimemaliza kila kitu na kimeonya na kimeshasema yeyote mwenye kufanya hivyo hatosamehewa milele na hatoingia peponi.
Sasa naona njia ya peponi si rahisi kw a baadhi ya watu.
 
Wadada ndio wanaanzaga kudai huo mchezo.. kwa lengo la kuweka shepu zao ziwe na mvuto tu hasa kwenye makalio... yawe laini n yawe makubwa mwanaume hujikuta tu anafanya may be kutest ladha pia kwa nia ya kumridhisha mwanamke anavhokihitaj...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamishna Mkuu wa Skauti Tanzania, Mwantumu Mahiza ameshtushwa na taarifa za kuwepo kwa baadhi ya wanafunzi wa shule za mkoani Tanga wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, na kutoa kauli ya kukemea. Akizungumza hivi karibuni akiwa mkoani humo, Mahiza ambaye pia amewahi kuwa Naibu Waziri wa Elimu amesema taarifa hiyo imemshtua kwani mbali na kuwa kinyume na maadili na sheria za nchi, inawadidimiza kitaaluma wanafunzi na Taifa. [ 228 more words ]
Ushoga, usagaji shule za Tanga wamshtua Mahiza, akemea


Tupo kwenye ulimwengu uliomgumu sana

KUHUSU USHOG
----------------------------
Historia: Kwa ufupi tu, mapenzi
yaJinsia moja hasa jinsia ya kiume
yamekuwa yakipigwa vita miaka
nenda miaka rudi katika maeneo
mbalimbali duniani. Tamaduni, sheria
na dini zimekuwa zikipingana na
ushoga kwa sababu sio jambo la
asili. Mnamo karne ya 12, kanisa
katoliki lilipiga marufuku waumini
wake kujihusisha na mapenzi ya
jinsia moja (ushoga). Kabla ya hapo,
ushoga haukuwa kitu cha kujadili,
ulipuuzwa. Lakini marufuku za kidini
na kisheria zilianza kuwekwa pale
ushoga ulipoanza kuota mizizi katika
jamii.
Wataalamu wa tiba mbalimbali,
madaktari na wanasaikolojia
wamekuwa wakishindana kufanya
tafiti juu ya ushoga; sababu, chanzo
na tiba. Baadhi ya wataalamu
wameona kuwa ushoga sio jambo la
asili, huku wengine kama Dr.
Sigmund Freud wakiona kuwa
ushoga ni jambo la asili na hakuna
sababu ya kutafuta tiba wala
kuwatungia sheria za kuwakataza
watu kushiriki mapenzi ya jinsia
moja. Hata hivyo kwa kipindi kirefu
ushoga uliwekwa kwenye kundi la
maradhi ya akili (psychological
disorders).
Ilipofika mwaka 1973, taasisi ya
magonjwa ya akili ya Marekani
(American Psychiatrist Association)
iliondoa ushoga kwenye kundi la
maradhi ya akili, hii ilifuatiwa pia na
ushirika wa saikolojia wa hukohuko
marekani (American Psychology
Association) ulipouondoa ushoga
kwenye kundi la matatizo ya
kisaikolojia mwaka 1975. Kwa hiyo
katika marekani, ushoga ukatolewa
kwenye maradhi ya akili, na vilevile
kwenye matatizo ya kisaikolojia.
Uamuzi huu haukufanywa kwa
sababu za kitafiti kama taaluma za
kitabibu zinavyoelekeza bali kwa
ushawishi wa kilaghai (lobying) na
mashinikizo kutoka makundi ya
mashoga huko marekani.
Mnamo mwaka 1990, shirika la afya
duniani, WHO nalo likafuata mkondo
wa kuondoa ushoga kwenye kundi la
maradhi ya akili.
Saikolojia
Hakuna hitimisho rasmi la kutosha
kueleza kama mapenzi ya jinsia moja
ni matokeo ya maradhi ya akili au ni
jambo la asili. Ingawa tafiti fulani
zinaonesha kuwa watu wengi
wanaojihusisha na tabia hii
wame'ipata' baada ya kuzaliwa
(acquired) na sio ya kuzaliwa nayo.
Elimu ya viumbe hai (biologia) haitoi
ushahidi wa binadamu kuwa sahihi
katika mapenzi ya jinsia moja.
Vilevile, elimu ya maumbile ya
binadamu (Human Anatomy) haitoi
ushirikiano katika muingiliano wa
kimapenzi baina ya wanadamu wa
jinsia moja. Lakini jambo la hakika ni
kwamba watu wanaoshiriki mapenzi
ya jinsia moja wapo na wanafurahia
tendo hilo. Hapo ndipo penye kufikiri.
Mwanasaikolojia Dr. Sigmund Freud
anajaribu kuelezea namna mabadiliko
ya akili-ngono (psychosexual)
yanavyotokea kwa binadamu. Katika
kile kinachoitwa 'Oedipus Complex,
Freud anasema,
Akili-ngono (psychosexual) ya mtoto
hukua kwa kupitia hatua tano, hatua
hizo ni 1. Oral (mdomo) 2. Anal
(mkundu) 3.Phallic (Uume) 4. The
latent satage (hatua ya mpito) 5.
Genetalia (sehemu zote za siri). Ni
katika hatua ya tatu (phallic stage)
ambapo mtoto huanza kujitambua
kimaumbile na kujitofautisha na watu
wa jinsia tofauti. Hatua hii hutokea
kati ya umri wa miaka 3-6.
Katika hatua hii, binadamu huyu
mtoto huanza kuwaona watu wa
jinsia tofauti Kama watu tofauti na
yeye. Vivo hivyo huweza kutamani
kingono watu wa jinsia tofauti, wa
umri wote. Kwa hivyo kwa watoto wa
kiume huweza kuwatamani mama zao
ambao huambatana nao kwa karibu
kuliko mtu yeyote, na mtoto wa kike
kutamani baba zao. Karibu mara zote,
hatua hii hupita, na mara chache
huweza kuendelea hadi wakati wa
kubalehe. Lakini pia, katika hatua hii
ya Tatu ya ukuaji wa akili ngono,
mtoto huweza kujitamani mwenyewe.
Na hapo ndio kunaweza kuambatana
na kutamani watu wa jinsia yake.
Bado elimu zaidi inahitajika kujifunza
zaidi mambo haya yenye utata.
Dunia na ushoga.
Katika kitabu chake cha Conspirators
Hierarchy, mwana intelijensia Dr.
John Coleman anaeleza kwa kifupi tu
namna serikali za marekani na
uingereza zinavyofanyakazi kwa
mashinikizo ya makundi ya siri,
yakiwemo makundi ya mashoga.
(Homosexuals). Makundi hayo ya
(homosexuals) wamejiingiza katika
makundi maengine ya siri kama vile,
Order of st John of Jerusalem,
Bachofen, Royal Institute for
International Affairs (RIILA),
Illuminati, Bilderbelgers, Trialterals,
Freemasonry, Round Table, Cini
foundation, Club of Rome, The
Fabianist (waanglikana), Council of
Foreign Relations (CFR), Zionist,
Hellfire clubs, The Venetian Black
Nobility, The Mont Pelerin Society,
Bolshevism-Rosicrucianism,
Rothchildren of Europe. Nk.
Yapo makundi mengi yenye nguvu ya
fedha na intelijensia. Nimependa
kunakili orodha hiyo ili ifahamike
kuwa sio kitu rahisi tunapozugumzia
ushawishi wa makundi haya katika
serikali kubwa za dunia. Tunaweza
pia kuwaongeza Jesuits Fathers
(wakatoliki) ambao hawakutajwa na
Dr. Coleman. Ni makundi ambayo
serikali za dunia ya tatu hazifui dafu
kupambana nayo. Mara nyingi sisi
watu wadogo tunanufaika na/au
kuathirika pale makundi haya
yanapokinzana au yanapoafikiana
katika kazi zao, ndio pale unapoona
sasa kanisa la Anglican linakubali
ushoga, na katika kuliingilia kanisa
katoliki tunaona papa Benedict
anajiuzulu na anaingia papa Francis
na kuweka rekodi ya kuwa 'Mjesuits'
wa kwanza kushika wadhifa wa
upapa. Ni mapambano tu.
Sasa; ushoga ulianza kwanza
kukubalika (acceptable), maana yake
katika mataifa hayo ushoga
ulikubalika na kuwa sehemu ya
maisha ya kawaida. Pili ukatungiwa
sheria (legal), maana yake hutakiwi
kuwapinga, la! Utahukumiwa. Lakini
si hivyo tu, sasa hivi unatangazwa na
kuhamasishwa kupitia vyombo mbali
mbali vya magharibi. Mbinu kadhaa
zinatumika kuhamasisha ushoga,
Moja! Kupitia filamu na muziki, mbili
kupitia vitabu vya nchi za magharibi
na kuzuia vitabu vya nchi za Asia ya
Kati (Arabia, Armaic) au 'semitic
books'. Tatu kupitia dini (anglican
church) kwa udhanio wa uratibu wa
"The Fabianists". Nne kupitia
wataalamu wa tiba (madaktari na
wanasaikolojia), tano kutumia
intelijensia ya habari, sita kutumia
tasisi za misaada (sir Elton John ni
moja Kati ya wafadhili wakubwa wa
tafiti za afya Tanzania) na kadhalika
kadhalika.
Swali bado linabaki kuwa, kwanini
haikutosha kuruhusu ushoga badala
yake unatangazwa na kuhamasishwa!
Tuendelee kujifunza
Bado kuna mengi ya kuandika , jinsi
serikali za nchi nyingine
zinavyopambana na ushoga wa
magharibi, kwa mfano Urusi na
Uchina zinavyodhibiti filamu, miziki,
video na mitandao ya kijamii ya
magharabi, mathalani tamthilia
maarufu ya 'Game of thrones, lazima
ichujwe name kundoa 'scenes' zote
zinazohusu ushoga kabla ya
kurushwa kwenye televisheni za
China. Tamthilia hiyo pia imepigwa
marufuku kuoneshwa katika kambi za
jeshi la uturuki (TSK). Orodha ya
filamu na tamthilia zinazohamasisha
ushoga ni nyingi. Intelijensia za
magharibi zimetamalaki katika
kutumia teknohama kueneza itikadi
zao, na 'mambo yao' .Wakati
mwengine huenezwa propaganda
kuwa watu wa zamani wenye
ushawishi walikuwa mashoga, mfano
mwanasayansi Sir Isaac Newton, na
Leonardo da Vinci. Lengo ni kutaka
kuhalalaisha ushoga kwenye akili za
watu.
Hatuwezi kumaliza kuandika.
Nitoe rai tu kwa watanzania, huku
tukiendelea kujiuliza swali lilelile;
kwa nini haikutosha kuruhusu ushoga
na badala yake unatangazwa in
kuhamasishwa?
Majibu ya swali hili yanaweza Kuwa
magumu kuliko swali lenyewe, na
bahati mbaya tayari tumeshaingiliwa.
Katika mikoa ya kanda za juu kusini,
Njombe, iringa nk, kumekuwa na
ugawaji wa vilainishi kwa wanaume
wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja,
zoezi linaloambatana na upimaji wa
VVU. Lakini kwa bahati mbaya zoezi
hilo linafanywa kwa namna ya
kuhamasisha ushoga.
Kuna habari ya mtoto wa kiume
aliyeingiliwa kinyume na watu
wazima huko Njombe. Kisha akapewa
vilainishi (lubricants) au jelly, na
yeye akawakusanya wenzake wa
kiume ambao ni wanafunzi wa shule
ya msingi kisha wakafanyiana na
kugawana vilainishi!
Lengo la vilainishi laweza kuwa
kurahisisha huo mchezo na
kupunguza uwezekano wa
kuambukizana maradhi, lakini zaidi,
vilainishi vinaacha hamu ya
kurudiarudia tendo hili ambalo kwa
imani za wengi ni kharamu. Kwa nini
kuhamasisha ushoga?
Wazazi na Walezi chukueni tahadhari,
Serikali tuondoleeni hii aibu.....
 
Wakati mwingine akili zetu za kibinadamu zinashindwa kufanya mambo mengine ila Mungu tulindie watoto wetu na wadunia nzima hakuna namna.
Kamishna Mkuu wa Skauti Tanzania, Mwantumu Mahiza ameshtushwa na taarifa za kuwepo kwa baadhi ya wanafunzi wa shule za mkoani Tanga wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, na kutoa kauli ya kukemea. Akizungumza hivi karibuni akiwa mkoani humo, Mahiza ambaye pia amewahi kuwa Naibu Waziri wa Elimu amesema taarifa hiyo imemshtua kwani mbali na kuwa kinyume na maadili na sheria za nchi, inawadidimiza kitaaluma wanafunzi na Taifa. [ 228 more words ]
Ushoga, usagaji shule za Tanga wamshtua Mahiza, akemea


Tupo kwenye ulimwengu uliomgumu sana

KUHUSU USHOG
----------------------------
Historia: Kwa ufupi tu, mapenzi
yaJinsia moja hasa jinsia ya kiume
yamekuwa yakipigwa vita miaka
nenda miaka rudi katika maeneo
mbalimbali duniani. Tamaduni, sheria
na dini zimekuwa zikipingana na
ushoga kwa sababu sio jambo la
asili. Mnamo karne ya 12, kanisa
katoliki lilipiga marufuku waumini
wake kujihusisha na mapenzi ya
jinsia moja (ushoga). Kabla ya hapo,
ushoga haukuwa kitu cha kujadili,
ulipuuzwa. Lakini marufuku za kidini
na kisheria zilianza kuwekwa pale
ushoga ulipoanza kuota mizizi katika
jamii.
Wataalamu wa tiba mbalimbali,
madaktari na wanasaikolojia
wamekuwa wakishindana kufanya
tafiti juu ya ushoga; sababu, chanzo
na tiba. Baadhi ya wataalamu
wameona kuwa ushoga sio jambo la
asili, huku wengine kama Dr.
Sigmund Freud wakiona kuwa
ushoga ni jambo la asili na hakuna
sababu ya kutafuta tiba wala
kuwatungia sheria za kuwakataza
watu kushiriki mapenzi ya jinsia
moja. Hata hivyo kwa kipindi kirefu
ushoga uliwekwa kwenye kundi la
maradhi ya akili (psychological
disorders).
Ilipofika mwaka 1973, taasisi ya
magonjwa ya akili ya Marekani
(American Psychiatrist Association)
iliondoa ushoga kwenye kundi la
maradhi ya akili, hii ilifuatiwa pia na
ushirika wa saikolojia wa hukohuko
marekani (American Psychology
Association) ulipouondoa ushoga
kwenye kundi la matatizo ya
kisaikolojia mwaka 1975. Kwa hiyo
katika marekani, ushoga ukatolewa
kwenye maradhi ya akili, na vilevile
kwenye matatizo ya kisaikolojia.
Uamuzi huu haukufanywa kwa
sababu za kitafiti kama taaluma za
kitabibu zinavyoelekeza bali kwa
ushawishi wa kilaghai (lobying) na
mashinikizo kutoka makundi ya
mashoga huko marekani.
Mnamo mwaka 1990, shirika la afya
duniani, WHO nalo likafuata mkondo
wa kuondoa ushoga kwenye kundi la
maradhi ya akili.
Saikolojia
Hakuna hitimisho rasmi la kutosha
kueleza kama mapenzi ya jinsia moja
ni matokeo ya maradhi ya akili au ni
jambo la asili. Ingawa tafiti fulani
zinaonesha kuwa watu wengi
wanaojihusisha na tabia hii
wame'ipata' baada ya kuzaliwa
(acquired) na sio ya kuzaliwa nayo.
Elimu ya viumbe hai (biologia) haitoi
ushahidi wa binadamu kuwa sahihi
katika mapenzi ya jinsia moja.
Vilevile, elimu ya maumbile ya
binadamu (Human Anatomy) haitoi
ushirikiano katika muingiliano wa
kimapenzi baina ya wanadamu wa
jinsia moja. Lakini jambo la hakika ni
kwamba watu wanaoshiriki mapenzi
ya jinsia moja wapo na wanafurahia
tendo hilo. Hapo ndipo penye kufikiri.
Mwanasaikolojia Dr. Sigmund Freud
anajaribu kuelezea namna mabadiliko
ya akili-ngono (psychosexual)
yanavyotokea kwa binadamu. Katika
kile kinachoitwa 'Oedipus Complex,
Freud anasema,
Akili-ngono (psychosexual) ya mtoto
hukua kwa kupitia hatua tano, hatua
hizo ni 1. Oral (mdomo) 2. Anal
(mkundu) 3.Phallic (Uume) 4. The
latent satage (hatua ya mpito) 5.
Genetalia (sehemu zote za siri). Ni
katika hatua ya tatu (phallic stage)
ambapo mtoto huanza kujitambua
kimaumbile na kujitofautisha na watu
wa jinsia tofauti. Hatua hii hutokea
kati ya umri wa miaka 3-6.
Katika hatua hii, binadamu huyu
mtoto huanza kuwaona watu wa
jinsia tofauti Kama watu tofauti na
yeye. Vivo hivyo huweza kutamani
kingono watu wa jinsia tofauti, wa
umri wote. Kwa hivyo kwa watoto wa
kiume huweza kuwatamani mama zao
ambao huambatana nao kwa karibu
kuliko mtu yeyote, na mtoto wa kike
kutamani baba zao. Karibu mara zote,
hatua hii hupita, na mara chache
huweza kuendelea hadi wakati wa
kubalehe. Lakini pia, katika hatua hii
ya Tatu ya ukuaji wa akili ngono,
mtoto huweza kujitamani mwenyewe.
Na hapo ndio kunaweza kuambatana
na kutamani watu wa jinsia yake.
Bado elimu zaidi inahitajika kujifunza
zaidi mambo haya yenye utata.
Dunia na ushoga.
Katika kitabu chake cha Conspirators
Hierarchy, mwana intelijensia Dr.
John Coleman anaeleza kwa kifupi tu
namna serikali za marekani na
uingereza zinavyofanyakazi kwa
mashinikizo ya makundi ya siri,
yakiwemo makundi ya mashoga.
(Homosexuals). Makundi hayo ya
(homosexuals) wamejiingiza katika
makundi maengine ya siri kama vile,
Order of st John of Jerusalem,
Bachofen, Royal Institute for
International Affairs (RIILA),
Illuminati, Bilderbelgers, Trialterals,
Freemasonry, Round Table, Cini
foundation, Club of Rome, The
Fabianist (waanglikana), Council of
Foreign Relations (CFR), Zionist,
Hellfire clubs, The Venetian Black
Nobility, The Mont Pelerin Society,
Bolshevism-Rosicrucianism,
Rothchildren of Europe. Nk.
Yapo makundi mengi yenye nguvu ya
fedha na intelijensia. Nimependa
kunakili orodha hiyo ili ifahamike
kuwa sio kitu rahisi tunapozugumzia
ushawishi wa makundi haya katika
serikali kubwa za dunia. Tunaweza
pia kuwaongeza Jesuits Fathers
(wakatoliki) ambao hawakutajwa na
Dr. Coleman. Ni makundi ambayo
serikali za dunia ya tatu hazifui dafu
kupambana nayo. Mara nyingi sisi
watu wadogo tunanufaika na/au
kuathirika pale makundi haya
yanapokinzana au yanapoafikiana
katika kazi zao, ndio pale unapoona
sasa kanisa la Anglican linakubali
ushoga, na katika kuliingilia kanisa
katoliki tunaona papa Benedict
anajiuzulu na anaingia papa Francis
na kuweka rekodi ya kuwa 'Mjesuits'
wa kwanza kushika wadhifa wa
upapa. Ni mapambano tu.
Sasa; ushoga ulianza kwanza
kukubalika (acceptable), maana yake
katika mataifa hayo ushoga
ulikubalika na kuwa sehemu ya
maisha ya kawaida. Pili ukatungiwa
sheria (legal), maana yake hutakiwi
kuwapinga, la! Utahukumiwa. Lakini
si hivyo tu, sasa hivi unatangazwa na
kuhamasishwa kupitia vyombo mbali
mbali vya magharibi. Mbinu kadhaa
zinatumika kuhamasisha ushoga,
Moja! Kupitia filamu na muziki, mbili
kupitia vitabu vya nchi za magharibi
na kuzuia vitabu vya nchi za Asia ya
Kati (Arabia, Armaic) au 'semitic
books'. Tatu kupitia dini (anglican
church) kwa udhanio wa uratibu wa
"The Fabianists". Nne kupitia
wataalamu wa tiba (madaktari na
wanasaikolojia), tano kutumia
intelijensia ya habari, sita kutumia
tasisi za misaada (sir Elton John ni
moja Kati ya wafadhili wakubwa wa
tafiti za afya Tanzania) na kadhalika
kadhalika.
Swali bado linabaki kuwa, kwanini
haikutosha kuruhusu ushoga badala
yake unatangazwa na kuhamasishwa!
Tuendelee kujifunza
Bado kuna mengi ya kuandika , jinsi
serikali za nchi nyingine
zinavyopambana na ushoga wa
magharibi, kwa mfano Urusi na
Uchina zinavyodhibiti filamu, miziki,
video na mitandao ya kijamii ya
magharabi, mathalani tamthilia
maarufu ya 'Game of thrones, lazima
ichujwe name kundoa 'scenes' zote
zinazohusu ushoga kabla ya
kurushwa kwenye televisheni za
China. Tamthilia hiyo pia imepigwa
marufuku kuoneshwa katika kambi za
jeshi la uturuki (TSK). Orodha ya
filamu na tamthilia zinazohamasisha
ushoga ni nyingi. Intelijensia za
magharibi zimetamalaki katika
kutumia teknohama kueneza itikadi
zao, na 'mambo yao' .Wakati
mwengine huenezwa propaganda
kuwa watu wa zamani wenye
ushawishi walikuwa mashoga, mfano
mwanasayansi Sir Isaac Newton, na
Leonardo da Vinci. Lengo ni kutaka
kuhalalaisha ushoga kwenye akili za
watu.
Hatuwezi kumaliza kuandika.
Nitoe rai tu kwa watanzania, huku
tukiendelea kujiuliza swali lilelile;
kwa nini haikutosha kuruhusu ushoga
na badala yake unatangazwa in
kuhamasishwa?
Majibu ya swali hili yanaweza Kuwa
magumu kuliko swali lenyewe, na
bahati mbaya tayari tumeshaingiliwa.
Katika mikoa ya kanda za juu kusini,
Njombe, iringa nk, kumekuwa na
ugawaji wa vilainishi kwa wanaume
wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja,
zoezi linaloambatana na upimaji wa
VVU. Lakini kwa bahati mbaya zoezi
hilo linafanywa kwa namna ya
kuhamasisha ushoga.
Kuna habari ya mtoto wa kiume
aliyeingiliwa kinyume na watu
wazima huko Njombe. Kisha akapewa
vilainishi (lubricants) au jelly, na
yeye akawakusanya wenzake wa
kiume ambao ni wanafunzi wa shule
ya msingi kisha wakafanyiana na
kugawana vilainishi!
Lengo la vilainishi laweza kuwa
kurahisisha huo mchezo na
kupunguza uwezekano wa
kuambukizana maradhi, lakini zaidi,
vilainishi vinaacha hamu ya
kurudiarudia tendo hili ambalo kwa
imani za wengi ni kharamu. Kwa nini
kuhamasisha ushoga?
Wazazi na Walezi chukueni tahadhari,
Serikali tuondoleeni hii aibu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jukumu la kumlinda mtoto wako ni la nyie wazazi sio jukumu la Mungu
Huyu hapa kiranja wao

tapatalk_1541832657263.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom