Nini huleta Sonona?

Huyo mwanamama ni mwanaume alietengenezwa kuwa mwana mama amsapoti obama kama first lady!!!Mambo ya maabara hayo!!!
 
Huyo mwanamama ni mwanaume alietengenezwa kuwa mwana mama amsapoti obama kama first lady!!!Mambo ya maabara hayo!!!
Yasemekana ni Transgender. Unahisi hili ndilo ,lina msakama nafsin mwake?!
 
Michelle anatuzingua...sonona my foot
 
Huamin kuwa anawwza sumbuliwa na hili swala??!?
Anajifanyisha 😄😄. Pesa wanazo..kutwa kutuonyesha mapenzi yao na Obama, nini tena anataka huyu maza?? Aje huku aone jinsi sonona ilivyotufanya tuwe sugu
 
Reactions: amu
Anajifanyisha [emoji1][emoji1]. Pesa wanazo..kutwa kutuonyesha mapenzi yao na Obama, nini tena anataka huyu maza?? Aje huku alone jinsi sonona ilivyotufanya tuwe sugu
Haha. Nawe wajiona sugu?? Au ni title unayo wakilisha uzoefu wa hali.
 
Sonona husababishwa na upungufu mkubwa wa sukari kwenye ubongo.. Ubongo ukiwa hauna sukari huleta maumivu kwenye neurons ambayo huathiri hisia na kumfanya mtu kuwa na huzuni au wasi wasi kupita kiasi..
Upungufu huo wa sukari mainly husababishwa na ugonjwa wa kisukari ambapo mwili unashindwa kuyeyusha sukari au sukari kushindwa kuingia kwenye nerve cells na kumengenywa.
Tiba.
Hakuna tiba ya kudumu japo vifuatavyo vyaweza kusaidia.
1. Vitamin B complex- vidonge viwili vimezwe kila siku.
2. Viazi (chips) - angalau mlo mmoja kwa siku
3. Maziwa fresh
4. Tui la nazi
5. Drip ya D5 au RL au Glucose
6. Energy drinks (Mo, Azam, Redbull)
Kwa watakaobainika na kisukari waanze kutumia dawa kama Glibenclamide na Metformin.
 
Anajifanyisha [emoji1][emoji1]. Pesa wanazo..kutwa kutuonyesha mapenzi yao na Obama, nini tena anataka huyu maza?? Aje huku aone jinsi sonona ilivyotufanya tuwe sugu
[emoji3]
 

Ahsant, kwa kuchambua. Likn si husema namba mbili ni mbaya
 
Kwanini mleta mada unataka kujua kinachomsumbua Bibi Michele?
 
Kwanini mleta mada unataka kujua kinachomsumbua Bibi Michele?
Bi Michelle ni case study tu,.si tatizo lake pekeee. Unaweza jikuta unajiingiza ktk mazingira yakakueletea hayo, nahisi kujuzana muhimu
 
Sonona (depression) ni kiasi cha stress kilicho katika kiwango cha juu zaidi na huathiri utendaji wa akili na kwa sababu akili (intelligence) inazalishwa na ubongo (Brain) na ubongo ni kiungo cha mwili kilichounganika na kila part ya mwili hivo mtu mwenye depression yuko kwenye hatari sio tu kiakili bali hata kimwili na kupelekea uwezo wa kawaida wa mwili (physically) na huweza kuhisi au kuumwa homa, kuathirika kwa hormones, kutopata hamu ya vitu mbalimbali kama sex ,chakula, mood kuwa juu sana au chini saaana n.k

Stress is real na ni hatari sana, ukiona mtu analalamika sana kuhusu hizi mambo tafuta huduma haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…