Nini hiki na kinatumikaje?

Nini hiki na kinatumikaje?

Joined
Nov 25, 2020
Posts
73
Reaction score
170
IMG_20210912_122859.jpg
 
Mentality ya kimaskini na kijinga hiyo kujibu kitu usichokuwa nauelewa nacho
Jibu swali acha Shombo.

Wewe ungekuwa muelewa usingetuletea humu Kutaka kukijuwa.

Na kwa utajiri gani iliokuwa nao makochi ya kishamba yamechanika hvyo.
 
Nafikiri kama una headphones na hicho chombo kinatumika kama wireless headphones

Tafuta headphone zake na mchezo umeisha

Ila kama hauna headphone haitakuwa na faida kwako
 
Jamaa kumbe ameuliza huku akiwa na jibu lake maalumu analongojea... maana naona watu wanajibu anawahainisha vikali!
 
Back
Top Bottom