Alfu Lela Ulela
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,255
- 77
Nimeziona juhudi za Lowasa ktk kuutafuta Urais wa jamhuri ya Tanzania kwa hali na mali kabla hata hajapata kashfa ya Richmond iliyomwondoa ofisini.
Aliposhinda Kikwete mwaka 2005 kila mtu alijua Lowasa atakuwa PM. na hakuna aliyeshangaa Lowasa kuwa PM wa nchi hii maana walijua anaandaliwa kuwa Rais mwaka 2015.
Lakini hata alipotupwa nje ya serikali kwa kashfa ya ufisadi bado hajapoteza matumaini ya kuongoza nchi hii. anafanya harakati za kujisafisha na kufanya publicity kila kukicha. anatoa misaada ya fedha, anakubali kila mwaliko, anafanya shughuli za kijamii ili tu kujipatia credit ya urais 2015.
Amefika mbali zaidi kwa kutumia media kujisafisha na kujipigia debe kwa gharama kubwa. (pitia gazeti la Rai leo).
SWALI:JE LOWASA ATAFANYAJE AKIUKOSA URAIS ANAOUOTA KILA SIKU? EITHER KWA KUKATALIWA NDANI YA CHAMA CHAKE ASIPITISHWE AU KWA KUKATALIWA NA WATANZANIA. JE ATAJIUA? ATATUBU NA KUMRUDIA MUNGU? ATAKIMBIA NCHI? ATASTAAFU SIASA? AU ATAFANYAJE?!!!!!!!!!!!!