Idrisa1510
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 252
- 350
Msaada wa maelezo. Nimechaguliwa chuo kikuu Dodoma kwa kuchukua Bachelor of science with education.
Sasa sielewi baada ya kuhitimu nitakua mwalimu (pure teacher) au kuna sehemu nyingine nitafit. Na je chuoni nitasoma masomo yapi?
A-level nilichukua PCB na kufaulu kwa C flat. Ndoto zangu ilikua kusomea masuala ya afya ingawaje hatma yangu imeishia hapo.
Mwenye welewa juu ya suala hilo anipatie msaada wa maelezo.