bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,976
Habari!
Nini itakua hatma ya CHADEMA endapo matokeo ya uchaguzi yataonysha kuwa wameshindwa?Mimi naona huo ndio utakua mwisho wake kitabakia kama TLP ya Mrema.
Hawa makada wote wa CCM waliokuja na lowassa pamoja na lowasaa mwenyewe watarudi CCM wakiiacha cdm mchangani.Nasema hivi sababu wana CCM asilimia kubwa wameingia kimaslahi na maslahi yao yakishindwa kupatikana watarudi kwa mama na baba yao CCM.
Na hata wanachadema wengine asilia walimkubali Lowassa shingo upande sababu waliaminishwa atashinda kwahyo kushindwa kwake kutakua pigo kwao na kuwakatisha tamaa na CHADEMA.Na wananchi waliotaka kuitoa CCM kwa gharama yoyote nao watakata tamaa.CHADEMA imefikia katika kipindi muhimu sana katika historia yake,yani it either win or die!
Na kuna kitu kinaniambia kuwa Kama Magufuli akashinda uchaguzi ndio itakuwa mwisho wa upinzani Tanzania (instincts zangu zinaniambia hivo,ila logically impossible na intuitions nazo sio za kupuuza)