Hivi walimu waliomaliza arts na tunaosomea arts mwisho wetu ni nini, maana siku ya mahafali ya mwaka wa 3 hapa DUCE principal wa chuo alimwambia mkuu wa chuo Jakaya M. Kikwete kuwa wanatufundisha ujasiliamali ili tukajiajiri......SIJUI AJIRA ITAKUAJE MAANA HALI NI MBAYA CHUO KIZIMA KILA MTU ANAFANYA BIASHARA NDOGO NDOGO...TZ ARTS WAMETUKATISHA TAMAAA..