Nini Hatima ya Tanzania??

Nini Hatima ya Tanzania??

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,029
Reaction score
59,684
Wakuu kutoka na hali ya hewa kuchafuka na kuendelea kuchafuka kwenye siasa za Tanzani,najiuliza siwezi kupata majibu.Mwisho wa haya yote utakuwa ni nini?? JE, Wananzania watafaidika au wataendelea kuumia? JK na mamluki wake wataachia ngazi? na ni nani mkweli kati ya MAFISADI na wapinga fisadi??
 
hapa wakuu naombeni mchango wenu .kama unaona mbali what will be the rusults of all these shi**???
 
CCM watafanya mambo kama kawaida yao ili Wasurvive. Tungalie historia iliyopita ili tuone jinsi CCM ilivyosafisha hawa wanaopinga STATUS QUO.
Kwa mfano, Kolimba alimalizwa kwa sababu aliwapinga status quo. Malima kamalizwa na CCM vilevile. Sokoine..., unaweza ukamalizia.
 
We are in a process, mabadiliko huchukua muda, lakini iko siku things will be upside down!
 
Back
Top Bottom